nasie itakuwa hivyohivyo, upasuaji wa mishipa na kuziba matundu ya moyo utafanyika hapa, huko nje zitafanyika tiba za mabusha tuUkienda aga khan ya Tanzania unapata tiba ya kibingwa kama aga khan ya India mkuu? Sana sana utaambiwa upewe referral uende aga khan ya India.
JKCI watakosea sana wakifungua matawi ya kibingwa nchi zingine hizo. Labda wafungue vituo tu vya kutolea vipimo kisha wanawalengesha wagonjwa wote waje hapa hapa mwaisela