JKCI NA UGONJWA WA MOYO

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Wadau nawauliza je Jakaya kikwete CARDIAC INSTITUTE wanatibu kutumia kadi ya strategies,kwani mwanangu anaumwa ugonjwa wa moyo na sina pesa kwa sasa hivi je wanapokea kadi ya bima ya strategies? Km kuna mtu alishwahi tibiwa pale anisadie kunipa taarifa
 
Yes....kawatembelee
 
Ni kwamba Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wanapokea BIMA zile ambazo wameingia nazo mkataba ambazo ni NHIF, AAR, Strategy na NSSF. Kwa barua wanapokea kutoka Jwtz,JKT, Tanesco, NIC na Jubilee lakini sio ile ya Jubilee afya kwa wote. I hope utakuwa umepata mwanga kwa swali lako.

Kama una swali lingine usisite kuja.
 

Aksante sana mpenzi
 
Peoria malalmiko yako kwa rais wa wanyonge, yeye alichaguliwa kuwasaidia wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…