JKIA 4th busiest airport in Africa

Kuanzia 2022 hiyo Kenyatta airport itakuwa inashindana PAX na Zanzibar airport. Dar es salaam airport itakuwa na level za international as regional hub. Kumbuka Dar changes to Mega City by 2022 also.
Tangu wakati wa nyerere mlikua mna hyo ndoto..kwhyo endeleeni kuota tu..mkishtukizia mombasa inakimbiza nairobi nyinyi mkibaki na akina kigali
 
Hauna hoja bro. Miradi ya kukarabati viwanja vya ndege inaendelea nchi nzima. Halafu JNIA imezidi JKIA kwa kila kitu.
KIA na Songwe vyote vimeshakuwa upgraded.
Punguza ushabiki kwenye ukweli.
Umetumia nguvu nyingi sana mkuu kumjibu mpuuzi,ungemuacha tu na upuuzi wake
 
Terminal 3 JNIAni kubwa kuliko lile banda la kuku la pale nairobbery

Hadi unatokwa na povu, Juu ya kushabikia CCM. Nyie ni mbwa wa Kutupwa kweli. Many Danganyikans including you are not traveled so Achana na sisi kabisa. You are just giving a bad name to the good people of Danganyika
 
Tangu wakati wa nyerere mlikua mna hyo ndoto..kwhyo endeleeni kuota tu..mkishtukizia mombasa inakimbiza nairobi nyinyi mkibaki na akina kigali
Hahah
That's not anything new, We have heard that since 1963, what only happens is a widening gap
Naam, mmeshasikia sana, ila Sasa mnaona! Au hamuoni jameni?

Fatilieni bhas mambo...au ndio kuishi on denial?
 
Kuanzia 2022 hiyo Kenyatta airport itakuwa inashindana PAX na Zanzibar airport. Dar es salaam airport itakuwa na level za international as regional hub. Kumbuka Dar changes to Mega City by 2022 also.
It'a,tuta,tuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi unatokwa na povu, Juu ya kushabikia CCM. Nyie ni mbwa wa Kutupwa kweli. Many Danganyikans including you are not traveled so Achana na sisi kabisa. You are just giving a bad name to the good people of Danganyika
We mama uoni kama wewe ndio umetoa povu,umechanganya hadi lugha ..mbavu wa kibera mkubwa wewe
 
We mama uoni kama wewe ndio umetoa povu,umechanganya hadi lugha ..mbavu wa kibera mkubwa wewe

Tihihihi, sasa mbwa kilema kama wewe mwenye mguu mmoja kengeza una nini cha kuniambia, coming from that shithole called Danganyika, I can only heartily laugh at you bastard
 
Tihihihi, sasa mbwa kilema kama wewe mwenye mguu mmoja kengeza una nini cha kuniambia, coming from that shithole called Danganyika, I can only heartily laugh at you bastard
I can see how kibera chang'aa effected ur esprit,u just talk nonsense,u r idiot
 
I can see how kibera chang'aa effected ur esprit,u just talk nonsense,u r idiot

Tihahahhaaaaa, go hug a transformer. Ukikuja namna hiyo with a lot of disrespect for my motherland, you will have it in double shots. Go discuss your pertinent issues as to why Tanzania is such a desolate place despite all your resources. Kenya is not your cup of tea fool
 
Hiyo Gran Na Tenerife (no. 3 & 5) pia zipo Africa? Ama hii list ni ya nini na umeikota wapi?
Spanish territories but on the African continent. Yes Europeans still have territories here.
 
Spanish territories but on the African continent. Yes Europeans still have territories here.
You are wrong. Tenerife is part of Canary Islands which is part of Spanish territory. The simple fact that it is close to the coast of West Africa doesn't mean it is in Africa. No history book has ever listed these islands as being in Africa. The islands do not have anything in common with Africa and never will
 
Remember, plans are underway to construct a brand new airport at JKIA. πŸ˜‰ It is coming!
 
This is old news! If you went beyond the cursory google search you’d understand the argument provided for the delaying of the project.

Plans to build a new airport in the capital are still underway. For Kenya, the aviation sector is critical and a national security issue. It is not merely an opportunity to fly the national Colors.

Read the aviation white paper and you might just get a clue. πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…