komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
- Thread starter
- #61
Tangu wakati wa nyerere mlikua mna hyo ndoto..kwhyo endeleeni kuota tu..mkishtukizia mombasa inakimbiza nairobi nyinyi mkibaki na akina kigaliKuanzia 2022 hiyo Kenyatta airport itakuwa inashindana PAX na Zanzibar airport. Dar es salaam airport itakuwa na level za international as regional hub. Kumbuka Dar changes to Mega City by 2022 also.