JKIA handled 8.3m passengers in 2019

Zanzibar na KIA ndizo gari za kuenda wapi? Kisumu is receiving more passengers than those airstrips.
The same Kisumu ambayo hata ndege ya Ethiopia haijawahi tua! Haina hata taa za usiku!
 
Kuna siku ulituwekea picha za uwanja wa Ghana ukasema ni Kisumu, unakumbuka?
Which one are you disputing among the pictures? As you can see no airport from Tanzania can come close to it
 
Show me any biggest airport in EAST afrika like JNA.
JKIA 8.3m passengers in a year
JNIA 1.5m passengers in a year
MIA 1.5m passengers in a year
Kisumu 800,000 passengers in a year.
 
Kisumu is getting more than 800,000 passengers a year something that Mwanza is dreaming of. Alafu hiyo KIA mbona inaonekana kama primary school? Na pia watu wanakaa kwa benches? 😂 😂
 
Kisumu is getting more than 800,000 passengers a year something that Mwanza is dreaming of. Alafu hiyo KIA mbona inaonekana kama primary school? Na pia watu wanakaa kwa benches? 😂 😂
Where are those benches? Hebu zoom hiyo picha unayosema ina mabenchi tuyaone
Some photos zimegoma ku-upload au kama bado unakaza kuna uzi wa KIA humu ntakupa link.Achana na KIA!
Mwanza Airport PAX = Kisumu International Airport PAX + Eldoret International Airport PAX.
Mwanza Airport japo sio international ilishahold plane za mashirika mawili ya kimataifa, Kisumu and Eldoret dwellers have never seen such kind of planes😅
 
Kisumu is handling 800,000 passengers a year. Four times what Mwanza is handling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…