JKIA handled 8.3m passengers in 2019

JKIA handled 8.3m passengers in 2019

The same Kisumu ambayo hata ndege ya Ethiopia haijawahi tua! Haina hata taa za usiku!
Here is Kisumu. Far much betterthan any airport in Tanzania.
tapatalk_1588540168758.jpeg
IMG_20191103_153337.jpg
Kisumu08 (1).jpg
Kisumu09.jpg
Kisumu11.jpg
Kisumu12.jpg
tapatalk_1576272660274.jpeg
 
Kuna siku ulituwekea picha za uwanja wa Ghana ukasema ni Kisumu, unakumbuka?
Which one are you disputing among the pictures? As you can see no airport from Tanzania can come close to it
 
Show me any biggest airport in EAST afrika like JNA.
JKIA 8.3m passengers in a year
JNIA 1.5m passengers in a year
MIA 1.5m passengers in a year
Kisumu 800,000 passengers in a year.
 
Hako hakawezi shindana na KIAView attachment 1475663View attachment 1475664View attachment 1475665View attachment 1475666

Halafu pia Mwanza Airport karibuni inafungua kitu kama hiki
View attachment 1475668

Kingine PAX ya Mwanza Kisumu haijaifikia pamoja na kuwa international! KIA itoe hizo ligi kabisa!

Mwanza airport receives PAX more than a total of Eldoret n Kisumu International airports
Kisumu is getting more than 800,000 passengers a year something that Mwanza is dreaming of. Alafu hiyo KIA mbona inaonekana kama primary school? Na pia watu wanakaa kwa benches? 😂 😂
 
Kisumu is getting more than 800,000 passengers a year something that Mwanza is dreaming of. Alafu hiyo KIA mbona inaonekana kama primary school? Na pia watu wanakaa kwa benches? 😂 😂
Where are those benches? Hebu zoom hiyo picha unayosema ina mabenchi tuyaone
5l-image-36.jpg
Kilimanjaro_Airport_Boarding_Gates-1.jpg

Some photos zimegoma ku-upload au kama bado unakaza kuna uzi wa KIA humu ntakupa link.Achana na KIA!
Mwanza Airport PAX = Kisumu International Airport PAX + Eldoret International Airport PAX.
Mwanza Airport japo sio international ilishahold plane za mashirika mawili ya kimataifa, Kisumu and Eldoret dwellers have never seen such kind of planes😅
5l-image-36.jpg
Kilimanjaro_Airport_Boarding_Gates-1.jpg
 
Where are those benches? Hebu zoom hiyo picha unayosema ina mabenchi tuyaoneView attachment 1475689View attachment 1475690
Some photos zimegoma ku-upload au kama bado unakaza kuna uzi wa KIA humu ntakupa link.Achana na KIA!
Mwanza Airport PAX = Kisumu International Airport PAX + Eldoret International Airport PAX.
Mwanza Airport japo sio international ilishahold plane za mashirika mawili ya kimataifa, Kisumu and Eldoret dwellers have never seen such kind of planes😅View attachment 1475689View attachment 1475690
Kisumu is handling 800,000 passengers a year. Four times what Mwanza is handling.
 
Back
Top Bottom