Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Kama mna route nyingi za ndani kiasi ina make sense though inadepend na idadi ya abiria route husika.Kuna zingine zina safari zaidi ya moja kwa siku na zingine mbili tatu kwa wiki.Ndo maana nikakuuliza Kisumu- Nairobi maana yenyewe ndo inaonekana ina abiria wengi.Ingenipa mwanga kuhusiana na route zingine.I don't know the passengers number per day from Kisumu to JKIA. But also remember there are daily flights of Kisumu-Wilson, Kisumu-Mombasa, Kisumu- Eldoret, Kisumu-Malindi, Kisumu-Mara etc
Ila sawa I'll find out then.