JKIA handled more passengers last year than all Tanzanian airports combined

Tunaabiria wachache wa ndani kwakua watz wengi bado hawamudu gharama za ndege. ..Hata wale wanaomudu bado hawasafiri kwa kiasi cha kutosha! !
Tunaabiria wachache kutoka nje kwa kua hakuna biashara kubwa zaidi ya watalii wanaokuja Tz..Yawezekana izo ndio sababu kubwa zaidi kwa uelewa wangu
A very good excuse 😂 😂
 
Y'all know our neighbors have a funny relationship with data
 
I agree. Nashuku Mombasa port inahandle more cargo than all four port of TZ. They have more airports and ports than Kenya but the few Kenyan facilities handle more cargo and passengers than them.
What kind of cargo, miraa from somalia, human trafficking, and weapons for alshabaab. Thats the kind of cargo u handle

Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
 
What kind of cargo....miraa from somalia, human trafficking, and weapons for alshabaab.....thats the kind of cargo u handle
Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
Acha hasira za kitoto wewe. Hakuna bandari ukanda huu wote wa Afrika Mashariki na ya Kati ambayo inaipiku bandari ya Mombasa kwa wingi wa mizigo inayopita kwenye bandari hiyo. Takriban 1.35Million TEUs zinapita bandarini Mombasa, hiyo ni zaidi ya jumla ya mizigo yote inayopita kwenye bandari zote za Tz kwa pamoja. Mombasa port inches closer to historic target
 
Acha ujinga wewe.

Hakuna nchi Africa ya mashariki ina handle cargo nyingi kama Tanzania.

Mombosa ndio bandari pekee kenya, wakati sisi tuna Dar, Tanga, Mtwara, Zanzibar.
 
Top three airports in Kenya Vs Top three airports in Tanzania
Kenya
JKIA -8.3m
Mombasa airport- 1.5m
Kisumu airport- 800,000

Tanzania
JNIA -2.3m
Abeid - 1.4m
Kilimanjaro- 777,000
Ya Kisumu ipo wapi hapo? Acha uwongo wewe!
 
Acha ujinga wewe.

Hakuna nchi Africa ya mashariki ina handle cargo nyingi kama Tanzania.

Mombosa ndio bandari pekee kenya, wakati sisi tuna Dar, Tanga, Mtwara, Zanzibar.
Mizigo ambayo bandari zote hizo kwa pamoja zina 'handle' kwa mwaka haifiki 1.35Million TEUs za bandari ya Mombasa. Leta takwimu za kuhalilisha madai yako kwamba Tz ndio inaongoza E.A kwenye cargo zinazopita bandarini.
 
Nenda kwenye site ya THA utaziona huko.

Nyie endeleeni na kelele za mitandaoni wakati uhalisia uko kinyume.
 
Nyinyi ambao mna allergy kali ya takwimu ndio huwa mnapenda kelele za mitandaoni. Mimi nakupa tu uhalisia wa mambo kama yalivyo. Ikifikia Dec 2019 bandari ya Mombasa ilikuwa @ 1.4Million TEUs, bandari zote za Tanzania kwa pamoja, 1.1Million TEUs. Alafu eti unaona sifa kusema kwamba mna bandari nyingi. Wakati bandari kama Mtwara ni gofu ambalo kwa mwaka huwa halifikishi hata 100,000 TEUs. https://tradingeconomics.com/tanzan...fic-teu-20-foot-equivalent-units-wb-data.html
 
Acha ujinga wewe.

Hakuna nchi Africa ya mashariki ina handle cargo nyingi kama Tanzania.

Mombosa ndio bandari pekee kenya, wakati sisi tuna Dar, Tanga, Mtwara, Zanzibar.
All ports in Tanzania handles 17. million tonnes of cargo while Mombasa alone handles 34.4 million tonnes of cargo. That`s double of all what Tanzanian airports can do.
 
Evidence?
How many times do you always ask for this evidence? Do you think Kisumu is like Mwanza and Arusha that receives 200,000 passengers each annually?
World Bank appeals to Raila Odinga over infrastructure

Screenshot (171).png
 
So ulitaka nianze kusema kua data imepikwa?AU mmependelewa?iyo ni fact nimetoa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Cha kushangaza ni venye mlikuwa mnapiga kelele mingi baada ya kufungua JNIA terminal 3 ati mtaipiku jkia kwa miaka miwili, ata jkia iki stagnate hapo Kwa 8milion na nyinyi muongezee abiria 500k kila mwaka ambayo sio ata realistic kulingana na growth ya abiria jnia itachukua zaidi ya 12yrs kufikia stagnant jkia hapa tuna ongelelea 2033 uko alafu wapuuzi bado wanapiga Kelele.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Upanuzi wa JNIA ilikua Ni lazima kwa kua uwezo wa terminal 2 ulishaanza kuzidiwa!!
T3 maximum capacity ni pax 6M ,kufikia max capacity itachukua muda lazima...terminal 2 itabaki kua for domestic use,Idadi ya abiria itakua ikiongezeka kulingana na mzunguko ofcz itachukua muda kuijaza lakini Mimi na wewe hatujui Ni lini

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Upanuzi wa JNIA ilikua Ni lazima kwa kua uwezo wa terminal 2 ulishaanza kuzidiwa!!
T3 maximum capacity ni pax 6M ,kufikia max capacity itachukua muda lazima...terminal 2 itabaki kua for domestic use,Idadi ya abiria itakua ikiongezeka kulingana na mzunguko ofcz itachukua muda kuijaza lakini Mimi na wewe hatujui Ni lini

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ushaambiwa ni 2033
 
Back
Top Bottom