KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hongereni
Mmefanya vizur...
Naonaga Astral Aviation ndege zao hubeba Maua na Samaki KiA na Mwanza na kuzileta NBO...na kisha hapo hupakiwa kwenye ndege za kama Emirates,qatar etc..hii ni kwasababu pia wana charge hela ndogo kwa ndege ku park na mizigo kukaa airport
...Tukiwa serious... our terminal needed the upgrade..terminal 2 was built in 1984...Hiyo inaonyesha kwamba JNIA iliyofanyiwa upgrades juzi tu ni mapambo superficial tu. Sisi kwetu JKIA tunaimarisha real business substance and not style kama Dar.
Sio wewe ni njaa
NjaaBado unaendeleza ujuha
Njaa
Good move Kenyans
Though ni urithi tuu huo kutoka East African Airlines mliyoiba na kutoroka na ndege after break up of EA ya kipindi hiko
Isitoshe, hiyo JKIA ndo ilikua hub ya ndege za EA kipindi kile na ilichaguliwa kua hub ya ndege za mashirika mengine kuja EA
After break up ya EA ya kwanza kila kitu mkabaki navyo kwa uroho wenu na roho mbaya yenu from there on safari ya KQ ku take over the market ya EA ndo ikaanza then na hiyo JKIA kua hub, ko JKIA ilikua hub EA tangu enzi
All in all, Cong rats
Achana na hizo za Kenya kuifadhili E.A Airlines na kulipa madeni yote ya shirika hilo. 85% ya waajiriwa wa E.A. Airlines walikuwa wakenya. Yaani hata enzi hizo bado tulikuwa tunawafunika kweli kweli kwenye viwango vya elimu, uchapakazi, uwajibikaji na kujituma.Lakini Kenya ndio iliipa East African Airlines the most money by a long shot
Hivi unajua Tz mlikuwa mnamiliki asilimia ngapi ya shirika la usafiri wa anga la Afrika Mashariki? Sio hata kwa 15%, Tanganyika 9%, Zanzibar 4%, Uganda 26%, Kenya 61%! Tafakari hayo.Good move Kenyans
Though ni urithi tuu huo kutoka East African Airlines mliyoiba na kutoroka na ndege after break up of EA ya kipindi hiko
Isitoshe, hiyo JKIA ndo ilikua hub ya ndege za EA kipindi kile na ilichaguliwa kua hub ya ndege za mashirika mengine kuja EA
After break up ya EA ya kwanza kila kitu mkabaki navyo kwa uroho wenu na roho mbaya yenu from there on safari ya KQ ku take over the market ya EA ndo ikaanza then na hiyo JKIA kua hub, ko JKIA ilikua hub EA tangu enzi
All in all, Cong rats
Watanzania wote wangekuwa wanatoa hoja bila hisia Kama wewe, nadhani JF ingekuwa vizuri zaidi. Mara nyingi Watanzania hawapendi kuona wameshindwa Kwa jambo. Utawaona wakitumia lugha ya matusi vile unaonar wengine wao wanafanya hata hapa. Inatia huruma...Tukiwa serious... our terminal needed the upgrade..terminal 2 was built in 1984...
For a long time imekuwa hindrance kwa sisi ku expand even our national airline..cause capacity ni ndogo
Kitu kilichosaidia kukuwa kwa number of passengers in JKIA ni Kenya airways amabyo inaruka to many african cities connecting them hence JKiA kuwa hub
Kuhusu Cargo you have the cheapest and big warehouses ..but i think soon you will be competing with Ethiopian ...KQ haiko vzur kwenye cargo planes ...ni kwa sababu tu mzgo mingi ya ndege kubwa inaingia NBO then kuwa supplied EA hasa TZ
So lazima tu expand ili kuweza ku compete
Sasa Ulitaka uwanja wa JKIA ing'olewe ipelekwe Dar baada ya EAC kuvunjika? Ama ulikuwa unataka ilupuliwe ndio kenya ijenge uwanja mpya?Good move Kenyans