KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
The company is kenyan based ,owned by kenyans won African cargo awards 5 times ,2011,2013,2015,2017 and 2019, other notable airlines in jkia are Saudi cargo, Ethiopian, Cargo lux,Emirates cargo and dhl
Hongereni
Mmefanya vizur...
Naonaga Astral Aviation ndege zao hubeba Maua na Samaki KiA na Mwanza na kuzileta NBO...na kisha hapo hupakiwa kwenye ndege za kama Emirates,qatar etc..hii ni kwasababu pia wana charge hela ndogo kwa ndege ku park na mizigo kukaa airport