Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu:
(a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa upendela wa wazi wazi kwa wachina kuliko mteja yeyote. Mnajipanga kwenye foleni moja, halafu mchina aliyeko nyuma yako anachukuliwa na afisa kwenda kuhudumiwa kabla ya wewe.
(b) Kutokuwa na information systems za kutosha. Msafiri inabidi utembee umbali kadhaa kabla ya kukutana na screen inayoonyesha list ya ndege zinazzondoka na kuingia. Screens hiz zinatakiwa ziwepo sehemu nyingi.
(c) Kukosekana kwa huduma za kawaida baada ya abiria kumaliza security checks wakai wa kuondoka. Kuna choo kimoja, hakuna restaurant, hakuna charging system. Halafu hakuna ukuta unaotenganisha departures na arrivals.