Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazi krutuuu... lakini Updated boy< umeharibu kaziii maana washatoa hadi majina
Short and clear ,Vijana someni chuo jesh 2016...wazi?
Updated boi ukiweza kuprove hli basi real utakuw updated boi n i wl start trustn u
jeshi huwa halirudi nyuma
hakunaga hazwea makao makuu!
Hakuna cha azowea wala nini, waende tuu wakale kazi za kibeto, tena round ya nne nayo iwepo..
saiv nishakula kitengo pale quality group, naona kwenda chuo ni kujilaa tu...
sikia,jeshi ni jeshi mambo yake vitu vyake sawasawa!
jamaa unanichekesha wewe na updated boy yako hiyo ...! teh teh aya bana utakua maarufusiwezi kupaparukia taarfa ambayo cio official,thats my workn princple updated-boy
Hakuna cha azowea wala nini, waende tuu wakale kazi za kibeto, tena round ya nne nayo iwepo..
saiv nishakula kitengo pale quality group, naona kwenda chuo ni kujilaa tu...
na BOOM tutalisainia huko huko msihofu mambo yote byeeeeeee......!!!
umenena afande