mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Sep 26, 2013 #1 wanajamvi kuna tetesi majina ya wanaotakiwa kujiunga jkt awamu ya tatu yametoka. nita yapata wapi? kama kunamtu anaweza naomba ayaweke hapa. pia utaratibu wa kujiunga chuo utakuaje?
wanajamvi kuna tetesi majina ya wanaotakiwa kujiunga jkt awamu ya tatu yametoka. nita yapata wapi? kama kunamtu anaweza naomba ayaweke hapa. pia utaratibu wa kujiunga chuo utakuaje?