jkt 3r round

jkt 3r round

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
wanajamvi kuna tetesi majina ya wanaotakiwa kujiunga jkt awamu ya tatu yametoka. nita yapata wapi? kama kunamtu anaweza naomba ayaweke hapa. pia utaratibu wa kujiunga chuo utakuaje?
 
Back
Top Bottom