JKT Awamu ya tatu

Achen kulumbana jkt hakuna chuo spt tunaanza kuripot kama unabisha sema
 
kipindi sisi tuna maliza form six enzi hizo, tulitamani sana jkt, lakini bahati hatukuwa nayo, maana tulikuwa tunakaa mwaka mmoja na miezi minne kusibiri kujiunga na vyuo,, kiasi nyumbani kulikuwa kuna chosha sana, vijana hebu changamkieni hii fursa ya kwenda kupata mafunzo bure, mie hapa hata bunduki sijawahi ishika wakati wapo watu viumbe dhaifu tu kila siku wanaziosha,,. kimbilieni fursa hiyo,, huko hauta ambiwa ukalie msumari wala ule mawe
 
Jkt. Website inasema mcanini tetrc hzo kama vp Muingie msome kuna tangazo pale
Hili jukwaa limevamiwa siku hizi ayani kuna watu sijui wanajifunza kuandika,any way ndio maana munapata matokeo muliyoyapata
 
Hizo pesa za jkt bora zingeongezwa kwenye mikopo ya wanafunzi kuliko kutumika kwa ajili hiyo, nilipitia mafunzo ya jkt lakini sikuona faida yoyote, wawaache vijana wetu waende chuo oct kuliko kuwapotezea muda.
 
Jkt kama kawa kunyweni maji ya kutosha! Waziii.......!
 
Jkt kama kawa kunyweni maji ya kutosha! Waziii.......!


Tena wale matikiti ya kutosha hakuna azoea kwa raia asiye na uzalendo...tena intake yao hakuna kulalia mgongo,tano wasahau,fatik za kufa mtu tena kurushiwa taulo hakuna,doso mwanzo+mwisho
 
jaman source yangu ni major nlikutana nae makao makuu ya jkt jumatatu iliopita, aliniambia awamu ya tatu ipo na ni tar. 28 sept... ila lets wait, time wil tell bana.
 
jaman source yangu ni major nlikutana nae makao makuu ya jkt jumatatu iliopita, aliniambia awamu ya tatu ipo na ni tar. 28 sept... ila lets wait, time wil tell bana.

Mkuu utata upo hapa...kuna baadhi ya vyuo kama saut wanaripoti 12/09,kuna baadhi ya wanafunzi wameanza cozy za diploma...yani utata mtupu
 
nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.
 
nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.

Inawezekana maana ukiruhusu jeshi kuingilia elimu itakuwa udhaifu mkubwa sana, kuachisha wanafunzi masomo kwa ajili ya kwenda jkt watasababisha wanafunzi kuathirika kisaikolojia.
 
yani kiukweli tanzania bado sana yan unataka kuniambia kua izo sector 2 hazijakubaliana na kuelewana dah yan kila sector ina ratiba yake na kila ratiba ina ingilia ratiba ya nyenzake yan kiukweli bado sana this is what we call absent of cooperation among the sectors which has got bad effects to the
country dah noumer sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…