man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
jkt hv ni lazima...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chuo october.
Achen kulumbana jkt hakuna chuo spt tunaanza kuripot kama unabisha sema
haraka ya nin coz ni km unaenda kumuulza mlinz mshahara wa bos wk ni kias gan je unategemea kupata jb sahh?
Hili jukwaa limevamiwa siku hizi ayani kuna watu sijui wanajifunza kuandika,any way ndio maana munapata matokeo muliyoyapataJkt. Website inasema mcanini tetrc hzo kama vp Muingie msome kuna tangazo pale
source mi mwenyewe kama huamin s up to utoa source!?
source mi mwenyewe kama huamin s up to u
Jkt kama kawa kunyweni maji ya kutosha! Waziii.......!
jaman source yangu ni major nlikutana nae makao makuu ya jkt jumatatu iliopita, aliniambia awamu ya tatu ipo na ni tar. 28 sept... ila lets wait, time wil tell bana.
nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.