JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.

Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara

​
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.

Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
View attachment 3672434
si ujibebe na mihemko yako mkakutane field kwenye kulipua vituo vya mafuta gentleman ili mfundishane hiyo katiba ya kuharibu miundombinu ya umma?🐒
 
Wewe ni chawa huna mwelekeo. Huyo Mama yako aliapishwa kwenye uwanja wa jeshi, unadhani yeye hakuogopa. Shida unaongea tu ili ulipwe 7000. Very stupid idiot.
 
JKT - ukakamavu na kujitegemea, Ukitaka katiba Nenda shule ya Siasa huko Kibaha
Kwa hivyo wanafundishwa kupokea Rushwa? Kwakweli hii nchi ni shida kabisa. Kwa hivyo JKT haiendeshwi na Katiba? Wao wanajiendea tu.
 
Wewe ni chawa huna mwelekeo. Huyo Mama yako aliapishwa kwenye uwanja wa jeshi, unadhani yeye hakuogopa. Shida unaongea tu ili ulipwe 7000. Very stupid idiot.
bebwa ufala wa kifikra na AZAKI ukaandamane tena na mihemko yako hao vijana wakupokee gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom