figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
si ujibebe na mihemko yako mkakutane field kwenye kulipua vituo vya mafuta gentleman ili mfundishane hiyo katiba ya kuharibu miundombinu ya umma?πJKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?
UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.
Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
View attachment 3672434
Mwanmke una kisilani.si ujibebe na mihemko yako mkakutane field kwenye kulipua vituo vya mafuta gentleman ili mfundishane hiyo katiba ya kuharibu miundombinu ya umma?π
Watoto wa wapiga kura hao ,mtoto wa kigogo haendi JKT,JKT ni tatizo lingine, linahitaji tiba..
Hahahaha na wote hao hakuna mtoto wa kigogo hapoWakimaliza hapo wanarudi mtaani kulalamika hawana ajira
kigogo mtoto anaenda soma mbele anakuja pewa kitengoWatoto wa wapiga kura hao ,mtoto wa kigogo haendi JKT,
si ujibebe na mihemko yako mkakutane field kwenye kulipua vituo vya mafuta gentleman ili mfundishane hiyo katiba ya kuharibu miundombinu ya umma?π
nonsense πChangamoto uliyonayo ni kubwa sana. Mungu akuhurumie kwa neema yake.
Wewe ni chawa huna mwelekeo. Huyo Mama yako aliapishwa kwenye uwanja wa jeshi, unadhani yeye hakuogopa. Shida unaongea tu ili ulipwe 7000. Very stupid idiot.si ujibebe na mihemko yako mkakutane field kwenye kulipua vituo vya mafuta gentleman ili mfundishane hiyo katiba ya kuharibu miundombinu ya umma?π
Kwa hivyo wanafundishwa kupokea Rushwa? Kwakweli hii nchi ni shida kabisa. Kwa hivyo JKT haiendeshwi na Katiba? Wao wanajiendea tu.JKT - ukakamavu na kujitegemea, Ukitaka katiba Nenda shule ya Siasa huko Kibaha
bebwa ufala wa kifikra na AZAKI ukaandamane tena na mihemko yako hao vijana wakupokee gentleman πWewe ni chawa huna mwelekeo. Huyo Mama yako aliapishwa kwenye uwanja wa jeshi, unadhani yeye hakuogopa. Shida unaongea tu ili ulipwe 7000. Very stupid idiot.
Umeambiwa wewe mwanamke una kisilani sana.bebwa ufala wa kifikra na AZAKI ukaandamane tena na mihemko yako hao vijana wakupokee gentleman π
we mumama tuliza kiherehere na itapendeza zaidi πUmeambiwa wewe mwanamke una kisilani sana.