Jkt ipo kama kawaida......!!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Source waziri wa ulinzi bungeni leo asubuhi
nanukuu
awamu ya pili watamaliza mafunzo yao september(tarehe haikutajwa)
awamu ya tatu wataenda octomber(tarehe haikutajwa)
na awamu ya nne itakuwa january (tarehe haikutajwa)
 
Nimemsikia aseee.....15000 intake ya 3....itakuja ya 4 yani hakuna atakaekosa mwaka huu asee
 
Safi sana,,,basi wazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,AG4222 na support kwa asilimia mia iendelee
 
Amesema awamu ya pili itamalizika september tarehe hakutaja
awamu ya tatu october
na awamu ya nne january over.....!!
 
Waziri katisha sana awamu ya 3 imesikika vema sasa cjui mtafaruku huu hatma yake nn!!
Form 6 mguu pande
 
Waliokuwa wanakwepa nakujidai Chuo ni mwez 9...JIPANGEN SANA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…