jkt kwa form six na vyuo vikuu

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
leo nimepata joining instruction ya www.mzumbe.ac.tz na nimekuta kuna sehemu ya declaration kwa mwanafunzi,sehemu hiyo inauliza TAYARI UMEPITIA JKT?,UTAJE NAMBA YA JKT YA KWAKO NA NAMBA ,JINA LA KAMBI PAMOJA NA OPERATION ZAKO HUKO JKT,je kuna mpango wa kupeleka form 6 tena huko baada ya chuo au?nadhan ni mkakati wa kutaka kujua wangapi hawajaenda iki wapange mambo sawa watu waingie makambini.
 
hoya Danp36 kwa hiyo hapo mzumbe wameandika chuo mwezi wa ngapi kwa first year? Na je kuhucu ambao hawajaenda jkt inakuajee?
 
Last edited by a moderator:
Hebu tupe information zaidi wengine vyuo vyetu join haionyeshi vitu kama ivo.!
 
Hiyo ni kwa ajili ya wadau wote wa form 6 watakaokuwa wanafaulu kwa kiwango cha Div 1 na 2.
Miaka yote ijayo kuanzia sasa
 
Hiyo ni kwa ajili ya wadau wote wa form 6 watakaokuwa wanafaulu kwa kiwango cha Div 1 na 2.
Miaka yote ijayo kuanzia sasa

na walioendaa jkt awamu ya kwanza na kurudi wakakuta wamepata dv3 nao vp haiwahusu hiyo sehemu..! Acha kufikiria kwa kutumia ko_m_a_t_a! tumia kichwaa
 
wataenda wenyewe mimi tar 12 oct naitajika mkwawa(muce)
 
na walioendaa jkt awamu ya kwanza na kurudi wakakuta wamepata dv3 nao vp haiwahusu hiyo sehemu..! Acha kufikiria kwa kutumia ko_m_a_t_a! tumia kichwaa

Nashukuru aisee
 
jkt imebaki stori tu,hiyo awam ya 3 wataenda wenye div 4 na ziro tuu
 
Mkuu hiyo ni kawaida na haisumbui coz hata sisi tulivyoingia 2010 tulikikuta hicho kipengele bt c lazima kama hujapitia JKT..
 
Mi mgeni hapa!.. Napita tu.
Bora ya wewe unayepita tu
mm nilipitia JKT, na namba ninayo na Kikosi wakitaka nitawatajia lakini kazi nilikosa na Chuo wananinyima
Ki ukweli makosa yalikuwa ni ya Serikali, ingewasamehe wale wote wenye umri km wangu wasiende
 
hoya Danp36 kwa hiyo hapo mzumbe wameandika chuo mwezi wa ngapi kwa first year? Na je kuhucu ambao hawajaenda jkt inakuajee?

tarehe 14 october mkuu ambao hawajalamba kambi sijajua vp
 
Last edited by a moderator:

mmmh!!! nina joining instruction from www.mzumbe.ac.tz yenye page tisa(9). na kwakel sjafanikiwa kuona iyo sehemu inayo hitaji habari za jkt...sehemu pekee inayouliza depertment na course ni sehemu ya daktari (medically examined).please nambie ni page gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…