AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
leo nimepata joining instruction ya www.mzumbe.ac.tz na nimekuta kuna sehemu ya declaration kwa mwanafunzi,sehemu hiyo inauliza TAYARI UMEPITIA JKT?,UTAJE NAMBA YA JKT YA KWAKO NA NAMBA ,JINA LA KAMBI PAMOJA NA OPERATION ZAKO HUKO JKT,je kuna mpango wa kupeleka form 6 tena huko baada ya chuo au?nadhan ni mkakati wa kutaka kujua wangapi hawajaenda iki wapange mambo sawa watu waingie makambini.