jkt kwa form six

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
jamani hotuba ya wizara ya ulinzi inasema form six 2013 wote waliobaki wataenda jkt miezi mitatu mitatu na wakasema kwa maelezo zaidi angalia kiambata no 5! msaada mwenye kujua hicho kina maelezo gani anijuze au taarifa kuhusu hiyo kitu.....!
 
Nimejaribu kupitia website yao cjaona hicho kiambata.,mwenye kiambata jaman AKIAMBATANISHE bas.
 
Daaaaah nlishaanza kusahau hizi habar unanirudisha nyuma tenaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…