jamani hotuba ya wizara ya ulinzi inasema form six 2013 wote waliobaki wataenda jkt miezi mitatu mitatu na wakasema kwa maelezo zaidi angalia kiambata no 5! msaada mwenye kujua hicho kina maelezo gani anijuze au taarifa kuhusu hiyo kitu.....!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.