Malengo Jr
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 287
- 99
Natumai nyote mnafanya vyema ktk harakati za kuijenga Tanzania.
Hivi karibuni nimesikia watu wakidai kuitwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. (mimi nikiwa mmoja wao ambaye nimeahirisha kwa sababu niko chuoni tayari) Je, hii sheria imeandikwa kwenye katiba (constitution), imetungwa na bunge (statutory), precedents (case law) au hii sheria imetungwa na "deligated people" e.g Ministers, District Commissioners n.k kama by-laws?
Msaada wenu wakomavu wa sheria ktk nchi hii.