nduna lingasangasa
Member
- May 27, 2013
- 14
- 4
habarini wanajamvi nimesikia tetesi kwamba wanaoenda jeshi kwa mujibu wa sheria baada ya mafunzo hupewa fursa ya ku apply moja kwa moja kwa wanaopenda.,naomba kujuzwa kwa anaefahamu natanguliza shukrani
Kama unaconfirm jibu ni KWELI ila kuhusu kujuzwa sijaelewa ujuzwe nini hapo mkuu?
jiandae hapo ni wewe tu lkn najua mpaka mkuu wa kikos atakapowatangazia kuwa wanaotaka kubaki waandikishe majina wengi wenu mtakuwa hamna hamu na jeshi tena kutokana na msoto mlioupokea, so utataman ujiendee chuo tu. lkn sikukatish tamaa kubak kupo kwa wanaotaka jesh
Unaombaje?maana tuliambiwa tuache majina lakin mpaka sasa hakuna mpya