JKT kwa mujibu wa sheria kujiunga na jeshi mojakwamoja

Joined
May 27, 2013
Posts
14
Reaction score
4
habarini wanajamvi nimesikia tetesi kwamba wanaoenda jeshi kwa mujibu wa sheria baada ya mafunzo hupewa fursa ya ku apply moja kwa moja kwa wanaopenda.,naomba kujuzwa kwa anaefahamu natanguliza shukrani
 
Kama unaconfirm jibu ni KWELI ila kuhusu kujuzwa sijaelewa ujuzwe nini hapo mkuu?
 
jiandae hapo ni wewe tu lkn najua mpaka mkuu wa kikos atakapowatangazia kuwa wanaotaka kubaki waandikishe majina wengi wenu mtakuwa hamna hamu na jeshi tena kutokana na msoto mlioupokea, so utataman ujiendee chuo tu. lkn sikukatish tamaa kubak kupo kwa wanaotaka jesh
 
umesomeka mkuu
 
Unaombaje?maana tuliambiwa tuache majina lakin mpaka sasa hakuna mpya
 
Combination za science na EGM kama sijakosea baadhibyao ndio walioitwa kujiunga na jeshi moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom