tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Hao ni magereza au vyuo?Wahakikishe wanafanya vyema kwenye IT,kilimo,maswala ya usafiri,siraha pamoja na sayansi kiujumla baiolojia,kemia na fizikia.
Jeshi ndo wafanye hivi.hao ni magereza au vyuo?
Labda UlayaJeshi ndo wafanye hivi.
Mawazo ya kimasikiniBiashara ya tofali ni biashara kubwa sn mazee, unaweza kutana na order ya tofali elf 50 ambayo inahitaji watu serious, sahivi miradi ni mingi sn wapo sahihi labda washauri wawe wabunifu kwa kuwa na mashine za kisasa
Yaani Majeshi ya wenzetu yanaunda Ndege wewe unafyatua tofali unaona sawa?Biashara ya tofali ni biashara kubwa sn mazee, unaweza kutana na order ya tofali elf 50 ambayo inahitaji watu serious, sahivi miradi ni mingi sn wapo sahihi labda washauri wawe wabunifu kwa kuwa na mashine za kisasa
Tofali elfu hamsini nyingi sana aseh. Huo ni mradi wa apartments za kutosha.Biashara ya tofali ni biashara kubwa sn mazee, unaweza kutana na order ya tofali elf 50 ambayo inahitaji watu serious, sahivi miradi ni mingi sn wapo sahihi labda washauri wawe wabunifu kwa kuwa na mashine za kisasa
Hata hao JKT ni vijanaUtashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani.
Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa.
Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
View attachment 2134756
View attachment 2134757
Jeshi la nchi gani linaunda ndege?Yaani Majeshi ya wenzetu yanaunda Ndege wewe unafyatua tofali unaona sawa?
Jeshi Lina Kila kitu cha kuwawezesha Kufanya mambo makubwa sana
Ni kweli.Hata mbuyu ulianza kama mchicha