Jkt patamu ila?!

Jkt patamu ila?!

Joined
Aug 3, 2013
Posts
79
Reaction score
6
kwa wale ndugu zangu ambao bado hamjaenda jkt msife moyo kwa maneno mnayoyasikia mtaani yanayowakatisha tamaa
jkt ni chombo kizuri sana mana utajifunza mambo mengi. Kinachotakiwa ni kufungua moyo utapenda mwenyewe ila ukiwa na kinyongo utalichukia jeshi na kuliona chungu.
KWA WALE DADA ZETU....msijirahisishe sana kwa maafande we kila ukipigwa verse unakubali kwa kuzani hautapata shida mafunzoni..mzigo upo palepale hata ukitoa penzi.
CHA MUHIMU NI KUJILINDA MAANA KULE PAMEOZA
 
Back
Top Bottom