Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.