Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.Ina kera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hala nchini mtu atoke Geita unategemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli? Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi inamatatizo kila sehemu viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Dharula njiani ni nyingi kuna mtoto kaanza safari siku tatu mbele lakini bado ajafika, hi nchi ina mambo mengi ambao hayana mpangilio.Kwanini usingempeleka siku moja kabla?
Mbona wengine wanapokelewa selectively ndo jeshi lilivyo? Kuna kujuana?Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Huwezi mpa adhabu ya kijeshi raia baye hujamsajili kwenye daftari la jeshiKwa utaratibu wa jeshi wangepokelewa lakini kwa kupewa adhabu walau ya kugaragara kwenye vumbi.
Kwani pale ni jkt/mgambo au jwtz, kwa kweli mambo ya wTanzania ni kuumizana tu kila sehemu ndo maana watu wanakua na roho mbaya.Huwezi mpa adhabu ya kijeshi raia baye hujamsajili kwenye daftari la jeshi
Hivi vichurachura wanavyorushwa raia walioingia kwenye anga zao siyo adhabu za kijeshi?Huwezi mpa adhabu ya kijeshi raia baye hujamsajili kwenye daftari la jeshi
Lawama zako hazina msingi kabisa.Tangu lini walitakiwa kuripoti si angewahi kuja? Sawa tuliache hilo,la pili unaishi tanzania ipi? Geita - ruvu hufiki siku hiyo hiyo?nini geita kigoma sikuhizi mbona unafika dar vizuri tu!Ina kera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Serikali ipi ya kutoa nauli? Mtu anatumia zaidi ya 200k kuanda mtoto kuenda jkt kwa kununua vifa tu waka na nauli af unasikia mtu kwamba kambi imeja je wakati walio pagiwa hawajafika, huo ndo utendaji wa jkt kweli.Kama nauli walilipiwa na Serikali basi jeshi lipo sahihi, kama wametumia Hela zao waruhusiwe kuingia
Unataka waje walinunue na Jeshi kabisa wawekeze na uko ?!viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Kwa ndege au kwa basi? Au muhusika anaishi hapo hapo kigoma stendi, safari kwanza ujue Tz ndo ucomment.Lawama zako hazina msingi kabisa.Tangu lini walitakiwa kuripoti si angewahi kuja? Sawa tuliache hilo,la pili unaishi tanzania ipi? Geita - ruvu hufiki siku hiyo hiyo?nini geita kigoma sikuhizi mbona unafika dar vizuri tu!
Kwa bus.Mara ya mwisho ulisafiri lini?Kwa ndege au kwa basi? Au muhusika anaishi hapo hapo kigoma stendi, safari kwanza ujue Tz ndo ucomment.