JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

Ninyi ni nyuma kuna mwiko na ni jina mlilolichagua wenyewe kwa hiyari yenu.Hata ukijinunisha una mwiko nyuma.Chura utopolo wewe!
Dozi ya sasa itakua ni miezi miwili wala usiwe na hofu ntazibua tope lote mim ndio mtaalamu wewe tulia nshakufikia..
 
Naunga Mkono hoja, Kuna Makosa sio ya kufanya kwenye Mpira....!

Ukiona yamefanyika sio Bure...!
 
Hapo ni JKT Tanzania tu, hiyo bodi ya ligi na mnyama ni " ntu na nduguye".
 
Naunga mkono hoja. Bahasha siyo poa michezoni.
 
JKT wachunguze huko alipoficha, naamini uchunguzi wa makini kufanyika hata kama ameficha chini ya kitanda itabainika tu! Uchumi wake ukianza kubadilika ni ishara tosha
Sasa mtu kama kapewa million mbili uchumi wake utabadilikaje?
 
Hivi ni lazima uwe chizi ndo ushabikie Simba na yanga?
 
*Utaahira sio utahila

Unataka kulinganisha faul aliyocheza Bacca na hii ya huyu njaa kali? Uko serious?
Kumbe unajua unachoumwa,sasa au Tuanze na Kijili then Diara maana yale magoli na Tabora sijui ilikuwaje.
 
Shida yao kubwa ni Njaa! Huyo unaweza kuta amepewa Laki tano tu, Timu imepambana dakika zote anakuja kuigharimu timu kizembe kabisa!
Timu haikupambana,bali kipa aliamka vizuri tu, timu inapaki basi dk zote 90 na kupoteza muda lakini kipa wao anafikika kwa urahisi. Ni bahati tu hawakupigwa mengi
 

Attachments

  • Screenshot_20241224-202227.png
    357.2 KB · Views: 1
S
*Utaahira sio utahila

Unataka kulinganisha faul aliyocheza Bacca na hii ya huyu njaa kali? Uko serious?
Faul aliyocheza Baca ni ya kijinga zaidi, kitendo cha kufunga goli kwa mkono wakati anajua kabisa ana kadi ya njano hivyo ingemsababishia kupata kadi nyekundu na kukosa michezo muhimu ambayo ingeigharimu timu. Ni bahati yake refa afanya makosa ya kibinadamu
 

Attachments

  • FB_IMG_1735061176543.jpg
    70.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…