Dozi ya sasa itakua ni miezi miwili wala usiwe na hofu ntazibua tope lote mim ndio mtaalamu wewe tulia nshakufikia..Ninyi ni nyuma kuna mwiko na ni jina mlilolichagua wenyewe kwa hiyari yenu.Hata ukijinunisha una mwiko nyuma.Chura utopolo wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dozi ya sasa itakua ni miezi miwili wala usiwe na hofu ntazibua tope lote mim ndio mtaalamu wewe tulia nshakufikia..Ninyi ni nyuma kuna mwiko na ni jina mlilolichagua wenyewe kwa hiyari yenu.Hata ukijinunisha una mwiko nyuma.Chura utopolo wewe!
Sio waga, ni huwa. Tunataka tuondoe humu failures wa Form Fourwaga hamridhiki..
Hapo ni JKT Tanzania tu, hiyo bodi ya ligi na mnyama ni " ntu na nduguye".View attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Naunga mkono hoja. Bahasha siyo poa michezoni.View attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Tuseme sio goli, Yanga 3, hauoni utofauti wa goli la Bacca na goli alilosababisha huyo mchezaji?Hahaha wambie wachunguze na goli la baka la mkono
Hilo halikuwa goli la ushindi, tofauti na faul aliyosababisha huyo njaa wa JKTNa refa aliye kubali goli hili la Bacca naye pia Takukuru wamtembelee
Striker la penalty, hata haoni aibu kushangilia 😀😀😀
Sasa mtu kama kapewa million mbili uchumi wake utabadilikaje?JKT wachunguze huko alipoficha, naamini uchunguzi wa makini kufanyika hata kama ameficha chini ya kitanda itabainika tu! Uchumi wake ukianza kubadilika ni ishara tosha
Hivi ni lazima uwe chizi ndo ushabikie Simba na yanga?Halafu uingie kwako ambako pako wazi kama tundu za choo za zamani zile lenga iingie..
Umeanza kuwashwa tena kumbe nilikupa dozi ndogo nilifikiri nilikupa dozi ya mwezi kumbe unaonekana una wadudu wakubwa sana wanakuwasha njoo nikukune hii itakua funga mwaka ntakupa ya miezi miwili..
Yana midomo sana mambumbumbu ingekua mabingwa Young African yangebweka midomo juu kama mbwaa koko aliemwagiwa maji ya moto..
Yana midomo sana mambumbumbu ingekua mabingwa Young African yangebweka midomo juu kama mbwaa koko aliemwagiwa maji ya moto..
Kumbe unajua unachoumwa,sasa au Tuanze na Kijili then Diara maana yale magoli na Tabora sijui ilikuwaje.*Utaahira sio utahila
Unataka kulinganisha faul aliyocheza Bacca na hii ya huyu njaa kali? Uko serious?
Timu haikupambana,bali kipa aliamka vizuri tu, timu inapaki basi dk zote 90 na kupoteza muda lakini kipa wao anafikika kwa urahisi. Ni bahati tu hawakupigwa mengiShida yao kubwa ni Njaa! Huyo unaweza kuta amepewa Laki tano tu, Timu imepambana dakika zote anakuja kuigharimu timu kizembe kabisa!
Faul aliyocheza Baca ni ya kijinga zaidi, kitendo cha kufunga goli kwa mkono wakati anajua kabisa ana kadi ya njano hivyo ingemsababishia kupata kadi nyekundu na kukosa michezo muhimu ambayo ingeigharimu timu. Ni bahati yake refa afanya makosa ya kibinadamu*Utaahira sio utahila
Unataka kulinganisha faul aliyocheza Bacca na hii ya huyu njaa kali? Uko serious?