JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

Mimi
Screenshot_20241225-124536_888starz.jpg
binafsi namshukuru sana huyo mchezaji maana amenipa hela ya supu.
 
Mashabiki wa Yanga mmeumia kuliko mashabiki, wachezaji na viongozi wa JKT Tanzania.

Pole sana
 
Aliyetoa lawama hizi utadhani alishache mpira au Hata kukimbia mita 400 au sembuse 100 za uwanja. Kumbuka dakiza za majeruhi fatigue inakuwa Kubwa sana, wakati mwingine akili inataka kufanya hivi lakini mwili unagoma.

Inawezekana aliamini anamshika nje ya box, kwani beki yao ilifanya hivyo mara kdhaa nje ya box kudhibiti mashambulizi.
 
Back
Top Bottom