Mimi ni mtanzania ila wewe kichwa hujielewijeshi la kujenga taifa la tanzania (JKT) limekamilisha kujenga ukuta unao zunguka machimbo ya mirerani yanako chimbwa madini ya tanzanite, nyuma ya mda waliopewa na rais.
nadhani hii inawapa picha kamili kuhusu, nidhamu, bidii, ushupavu, uimara na ukakamavu wa majeshi ya tanzania katika kutimiza majukumu yao ya kijeshi.
nataka kufahamu, ni jukumu gani la kijeshi au kijamii, jeshi la kenya (KDF) iliwahi kulikamilisha nyuma ya mda iliowahi kupewa. nimeuliza tu kiroho safi.
majirani na watz wasioitakia mema tanzania, ruksa kutoa povu.[emoji23]
Definition yako ipo narrow sana..inawezekana imewekwa na Nyangau huko wikipediaunafaa kuwa unajiambia wewe pole...elimu yako pengine ni ndogo sana
nakuacha na definition ya wall toka wekipedia
wall
a thing regarded as a protective or restrictive barrier.
Hawa wajinga wa jubilee watatolewa mamlakani na Wakikuyu wenyewe. Na mpogeza JPM kwa kuwanyinya mabwenyenye wa Kenya soko la TZ, Huku akiwavuta Museven na kagame wafanye hivi pia. Hii miradi yao ya kifisadi kama SGR ambayo amekopa pesa huku wakipiga deals za 10% itakosa soko EAC, Isabaratike pamoja na serikali yao ya ukabila na uchawi. Hongera JPM washike mak*nde hivyo hivyoumecatch mafeelings msee...hivi unategemea kila mkenya wa jf lazima mawazo yake yawe sawa na wakenya wengine.
acheni mtu a- express opinion zake vile anavyojisikia.
Soma hiyo uelimike..then kama hujaelewa uliza tena.unafaa kuwa unajiambia wewe pole...elimu yako pengine ni ndogo sana
nakuacha na definition ya wall toka wekipedia
wall
a thing regarded as a protective or restrictive barrier.
Ile intelligence ya Danganyika ilishindwa kuwazuia wezi wa Kuku pale ikulu yenu na pia kituo cha Polisi mji mkuu CBD ya Dar-es-saalam... Hii sijawahi ona mkipost hapa JF hebu tuelezee zaidi kuhusu huu ulimbukeni wa Tanzania.KDF walipewa kazi ya kuondoa wale vibaka westgate wakaishia kuiba karanga na mikate
buda itabidi tukuwekee ulinzi wa kutosha.Hawa wajinga wa jubilee watatolewa mamlakani na Wakikuyu wenyewe. Na mpogeza JPM kwa kuwanyinya mabwenyenye wa Kenya soko la TZ, Huku akiwavuta Museven na kagame wafanye hivi pia. Hii miradi yao ya kifisadi kama SGR ambayo amekopa pesa huku wakipiga deals za 10% itakosa soko EAC, Isabaratike pamoja na serikali yao ya ukabila na uchawi. Hongera JPM washike mak*nde hivyo hivyo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Bravo Tanzania. Nadhani kwa mafanikio hayo ninauhakika tukiamua tunaweza kujenga ukuta kati ya Kenya na Tanzania ili kuzuia wahamiaji haramu toka kenya na wale wanaoleta vifaranga vyenye mafua ya ndege toka kenya.
Naunga mkonyo hoja..wakenya tumewashika pabaya..sasa hivi wamekimbilia kuchochea mgogoro wa Tanganyika na BaraBravo Tanzania. Nadhani kwa mafanikio hayo ninauhakika tukiamua tunaweza kujenga ukuta kati ya Kenya na Tanzania ili kuzuia wahamiaji haramu toka kenya na wale wanaoleta vifaranga vyenye mafua ya ndege toka kenya.
Hahahahha umenikumbusha mbali aiseeKDF walipewa kazi ya kuondoa wale vibaka westgate wakaishia kuiba karanga na mikate
unauliza tukusaidie au unauliza tukupe jibu ili ulete ubishani?.Ahead of schedule sio nyuma ya muda. Ni mbele au kabla ya muda.
Sio swali hilo, ni maelezo. Nimeyatoa baada ya kusoma headline uliyoiweka na habari yenyewe viko tofauti.unauliza tukusaidie au unauliza tukupe jibu ili ulete ubishani?.
achana na hiyo screenshot ya twitter ya "ahead of schedule". jiongeze kwa kusoma hizi screenshot zingine.
najua kingereza sio lugha yetu...ila utaelewa ndg yangu.
ha ha ha kakuwekea picha kuwa israel wanawasaidia kenya kujenga ukutasawa ila punguza hasira.
huo ugaidi kdf imeanza kupambana nao tangu lini?.... je ugaidi kenya umeisha?. alshabab wameisha?.
usijibu kwa hasira tafadhali.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe jamaa unanikosha sana, siku ukipanga kuja Dar nitafute tubadilishane mawazo.Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitwe
kakaSio swali hilo, ni maelezo. Nimeyatoa baada ya kusoma headline uliyoiweka na habari yenyewe viko tofauti.
Tunajifunza pamoja, tutafika tu. Ila ahead of schedule ni kabla au mbele ya muda uliokadiriwa.