JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Mkuu ukisema nyuma ya muda maana yake wamechelewa, mbele ya muda maana yake wamewahi, badilisha hiyo kauli katika uandishi
 
KDF hawafanyi kazi kama hizo za JKT hizo ni kazi za NYS. Fanya karisechi kidogo kuhusu NYS, utawafahamu tu. Vifurushi unavyo, acha kujitia hamnazo!
nimekwambia ukiondoa majukumu mengine ya kijamii, jkt ni jeshi kamili na linahusika na majukumu yote ya kijeshi kama vile watakavyo agizwa na wakubwa wao.

kufananisha jkt na kdf sio kosa, ni sahihi asimilia 100.[emoji23]

embu tazama majukumu ya jkt hapa chini halafu linganisha na hicho kidudu kinaitwa NYS hapo kenya.
fe0789073267b71b6e55d231b17981be.jpg
c12607c8643e5260a1853a11dd6ca811.jpg
 
... it is a proof he is your fellow citizen so you better engage him wisely because you are dealing with someone whose words about kenya are genuine regardless how negative he might sound.[emoji23] [emoji23]
Not negative, psychotic, wise thing is to let him come off his high. After preaching water, please don't even try tasting the wine.
 
Mkuu ukisema nyuma ya muda maana yake wamechelewa, mbele ya muda maana yake wamewahi, badilisha hiyo kauli katika uandishi
Niliona hilo, ila nikasema acha niepuke hayo nisije nikakemewa na wahenga. Sawa jomba. Upo sahihi kabisa. Natumai mleta mada atarekebisha.
 
Not negative, psychotic, wise thing is to let him come off his high. After preaching water, please don't even try tasting the wine.
ngoja arudi halafu tuone vile atavyo kujibu.na tuone kama utamudu kupambana naye.
chezeya mkikuyu akili timamu wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niliona hilo, ila nikasema acha niepuke hayo nisije nikakemewa na wahenga. Sawa jomba. Upo sahihi kabisa. Natumai mleta mada atarekebisha.
nitakupatia binocular uitumie kutafuta makosa zaidi kwenye thread.[emoji23] [emoji23]
 
Msaada mpaka kwenye concrete wall oh poor Kenya you are dependant even on cheap things like concrete stuff
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukuta pekee ambao wakenya wameujenga nyuma ya muda ni uelewa.

Namuheshimu sana mtu anayejielewa. Hata usipomjengea ukuta, hatofanya kama kitu hakipendezi.

I wish ningekua citizen wa Kenya. Nisingekua hivi nilivyo
Mlaumu mama yako kwa kutoivusha k yake ikashughulikiwe na wakora wa kibera
 
Mlaumu mama yako kwa kutoivusha k yake ikashughulikiwe na wakora wa kibera
Mama yangu anaingiaje hapa?

Ndio maana nikasema ukuta pekee ambao wakenya wameujenga kwa wakati ni uelewa. Badala ya kujenga hoja, unaingiza wazazi humu.

Msenge mkubwa wewe. Tena ukome kuingiza wazazi kwenye mada ambazo haziwahusu
 
Mlaumu mama yako kwa kutoivusha k yake ikashughulikiwe na wakora wa kibera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
naona majirani wamerudi kwenye archive yao kutafuta jibu linaloendana na swali langu.ila sidhani kama watapata jibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawashindanisha kujenga ukuta !?....waulizie ule wa Mandera.
 
Kazi kubwa ambayo Jeshi la kenya linafanya ni Kuiba na kuuza makaa ya Somalia. Tuseme ukweli hapa, Kila mara kwa mara unasikia kambi imeshambuliwa na alshabab kama wana jeshi wamevuta mablanketi waking'orota. Wakubwa wao nao kazi ni kupitisha sukari kwa boarder za somali wanaleta hapa kenya kuuza kwa bei ya kumvunja mkulima mkono. Juzi juzi tu walitaka kununua mindege mizee mizee yanaitwa "air tractors" kwa bei ya Morden Jet fighter kwa bahati nzuri wabunge wakakataa hilo
Very strong truth Mkikuyu, you never disappointed me so far with your facts. Kudos
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
maxresdefault.jpg
Dah...Safi Wakenya...hiyo ndiyo development ya kweli.... Huo Ukuta unajengwa kwa tofari za dhahabu?? USD 2000 kwa hatua 1?? Mtaamka tu....[emoji87]
 
Mama yangu anaingiaje hapa?

Ndio maana nikasema ukuta pekee ambao wakenya wameujenga kwa wakati ni uelewa. Badala ya kujenga hoja, unaingiza wazazi humu.

****** mkubwa wewe. Tena ukome kuingiza wazazi kwenye mada ambazo haziwahusu
pole sana kijana.
hayo yote umejisababishia mwenyewe kwa kuandika maneno ya kijinga chini kabisa ya comment yako

ungejipa mda wa dakika moja kutafakari kabla ya kuandika vile na kubonyesza kitufe cha send,yasingekukuta haya.
70e446957d891b608eba6d9c2d7ec76d.jpg
 
Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitwe
Hehehe safi sana baelezee baelewe
 
Dah...Safi Wakenya...hiyo ndiyo development ya kweli.... Huo Ukuta unajengwa kwa tofari za dhahabu?? USD 2000 kwa hatua 1?? Mtaamka tu....[emoji87]
niliwauliza huo ukuta unajengwa na KDF,? mpaka sasa hawajanipa jibu.
 
wall yenyewe ina lengo maalum kama vile ku slow down magaidi ama immigrants....itakuwa na CCTV cameras so hata kama magaidi wanaweza kuilipua tu nakupita tayari KDF watakuwa njiani sababu CCTV imewakamata wakitayarisha mabomu yao...usidhani ukuta lengo lake ni kuzuia tu mtu kupita...lengo la ukuta huu ni kusaka intelligence na ku spy kule Somalia...sasa nakuomba uwe unafanya research kabla ya kutusi mtu...usije ukajiabisha tena jinsi ulivojiabisha hapa kwa kusema ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe tu...
Kwani umeambiwa huo ukuta wetu hauekewi cctv cameras? Kwa taarifa yako huo ukuta utakua na cctv cameras zaidi ya 300, advanced watchmen towers, metal & non metal detectives, ground movements sensors, electric wires, ID controlled entrances, na mengine mengi yaani we subirini tu mambo bado.
 
Back
Top Bottom