Jkt usaili unaanza mwezi gani?

Jkt usaili unaanza mwezi gani?

JJ wa J

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
 
Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
Duuuuh mkuuu,,,,,,ndo kwanza kesho Wanaanza kuriport vijana wa kujitolea ambaO walifanYa usaili mwezi April mwa huu,,,
 
Ahaa sawa mkuu na je usaili uhnaofuata utafanyika mwezi gani tena
 
Back
Top Bottom