BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Kuna Wimbi la vijana Wanaenda JKT,baada ya kumaliza Elimu za Msingi na Sekondari,Wanakaa jeshini wakijitolea miaka miwili, wanatoka bila ujuzi wowote mwingine zaidi ya Kutumia singe kujilinda na kupambana na Adui.
Wengi wanajiunga JKT Ili wapate cheti,Ikitokea kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama waweze kuajiliwa kirahisi.tunazalisha watu wa kuajiriwa Kuliko kujiajiri,
eshi liangalie kutoa Elimu za UFUNDI Kwa vijana wetu kama ule wa Veta,Mageteza,Kuliko kumkalisha kijana miaka 2, anabakia kuambulia kulinda akipata ajira. Elimu za kukabili Mazingira yetu ni Muhimu.