JKT wamepewa free pass ya wiki moja

JKT wamepewa free pass ya wiki moja

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Salaam sana wana ukumbi huu.

Ni kweli vijana ambao wako jkt kwa mujibu wa sheria wamepewa free pass ya siku saba ili waje kujaza fomu zao za kwenda vyuo vikuu.

Inaonyesha kuwa ni wale wenye pass zinazowaruhusu kuingia chuo kikuu tu ndio wameruhusiwa, wengine wataendelea na majukumu yao ya kawaida huko jeshini.

Hata hivyo ni shukrani kwa serikali yetu kwa kuona hilo.
 
sawa wamewaruhusu, lkn kwa nn hawawap hela ya nauli? hapo huon ya kuwa wanawaongezea mzgo wazazi? siwez nikasifia meta maada unasifia nn? serikali wasaidia nn sasa hawa vjana? au unataka kusema kuwapigisha gwaride na kuwakosesha mda wa kumzika kwa kugharamikiwa na wazazi ndo tuisifie serikari! hapo cjakuelewa.
 
Mke wangu L naye karudi? Kapangiwa kambi gani?
 
ImageUploadedByJamiiForums1406379465.440972.jpg

Hawa ndo wamepewa likizo
 
sawa wamewaruhusu, lkn kwa nn hawawap hela ya nauli? hapo huon ya kuwa wanawaongezea mzgo wazazi? siwez nikasifia meta maada unasifia nn? serikali wasaidia nn sasa hawa vjana? au unataka kusema kuwapigisha gwaride na kuwakosesha mda wa kumzika kwa kugharamikiwa na wazazi ndo tuisifie serikari! hapo cjakuelewa.

iv unaelewa maana ya kujitolea?
 
iv unaelewa maana ya kujitolea?

aha kudanganya watu, kwa hyo unataka kutwambia huko ni kujitolea au ni amri ya serikari? hata kama ni kujitoea usafiri huwa ni bure, na kujitolea huwa ni nchi zile za kjamaa kama ilivyokuwa kwa tz enzi za nyerere na si kwa tz ya hii ya kikwete iliyojaa dhuluma na unyonyaji, ungekuwa na mtoto au ndugu yako halafu unamgharamikiwa wewe usafiri ndo ungeona uchungu wake
 
Duh! So waliofeli wanaendelea kuhustle,this world is not fair at all
 
sawa wamewaruhusu, lkn kwa nn hawawap hela ya nauli? hapo huon ya kuwa wanawaongezea mzgo wazazi? siwez nikasifia meta maada unasifia nn? serikali wasaidia nn sasa hawa vjana? au unataka kusema kuwapigisha gwaride na kuwakosesha mda wa kumzika kwa kugharamikiwa na wazazi ndo tuisifie serikari! hapo cjakuelewa.

Umeweza somesha hadi six huwezi mlipia nauli?
 
sawa wamewaruhusu, lkn kwa nn hawawap hela ya nauli? hapo huon ya kuwa wanawaongezea mzgo wazazi? siwez nikasifia meta maada unasifia nn? serikali wasaidia nn sasa hawa vjana? au unataka kusema kuwapigisha gwaride na kuwakosesha mda wa kumzika kwa kugharamikiwa na wazazi ndo tuisifie serikari! hapo cjakuelewa.

mkuu umeongea ukweli sana ila mab.wege watakuona kama umeongea p.umba.
 
ImageUploadedByJamiiForums1406439375.988893.jpg
Vijana wetu wakijifunza ukakamavu

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom