Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Salaam sana wana ukumbi huu.
Ni kweli vijana ambao wako jkt kwa mujibu wa sheria wamepewa free pass ya siku saba ili waje kujaza fomu zao za kwenda vyuo vikuu.
Inaonyesha kuwa ni wale wenye pass zinazowaruhusu kuingia chuo kikuu tu ndio wameruhusiwa, wengine wataendelea na majukumu yao ya kawaida huko jeshini.
Hata hivyo ni shukrani kwa serikali yetu kwa kuona hilo.