Mke wangu L naye karudi? Kapangiwa kambi gani?Salaam sana wana ukumbi huu.
Ni kweli vijana ambao wako jkt kwa mujibu wa sheria wamepewa free pass ya siku saba ili waje kujaza fomu zao za kwenda vyuo vikuu.
Inaonyesha kuwa ni wale wenye pass zinazowaruhusu kuingia chuo kikuu tu ndio wameruhusiwa, wengine wataendelea na majukumu yao ya kawaida huko jeshini.
Hata hivyo ni shukrani kwa serikali yetu kwa kuona hilo.
sawa wamewaruhusu, lkn kwa nn hawawap hela ya nauli? hapo huon ya kuwa wanawaongezea mzgo wazazi? siwez nikasifia meta maada unasifia nn? serikali wasaidia nn sasa hawa vjana? au unataka kusema kuwapigisha gwaride na kuwakosesha mda wa kumzika kwa kugharamikiwa na wazazi ndo tuisifie serikari! hapo cjakuelewa.
iv unaelewa maana ya kujitolea?
alaf mambo km haya sio yakuweka kwenye social network tumia ubongo badala ya kamasi
Unawashwa nini