JKUAT Yakanusha Degree ya Mbunge Didmus Barasa: Iliingiaje Parliament na EBK Records?

Omu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
469
Reaction score
95
Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) imesema Kimilili MP Didmus Barasa hakuwa mwanafunzi wake, na certificate inayodai kuwa Bachelor of Electrical and Electronic Engineering kutoka chuo hicho ni “NOT GENUINE.”

Katika barua ya Septemba 14, 2026 kwa COFEK, Registrar Dr Aggrey Wanyama alisema jina la Barasa halipo kwenye academic records za JKUAT na chuo hicho hakikuwa na graduation ya May 2008 kama certificate inayochunguzwa inavyodai.

Lakini hapa ndipo maswali yanaanza.

Old profile ya Barasa kwenye website rasmi ya Parliament bado inaonyesha alisoma BSc Electrical & Electronic Engineering JKUAT kati ya 2001–2005. Current profile, kwa upande mwingine, haionyeshi degree hiyo; badala yake ina Diploma ya Electrical & Electronics Engineering kutoka Kenya Power Training School na degrees zake za Public Administration kutoka Mount Kenya University.

Cha kushangaza zaidi, current Parliament profile bado inamtaja kama EBK Graduate Engineer, Registration B11528.

Na investigation hii si mpya.

EACC iliwahi kusema uchunguzi wake ulionyesha Barasa alidai degree ya JKUAT licha ya records kuonyesha hakuwahi kuadmitiwa, na commission ikapendekeza prosecution. Lakini ODPP ilirudisha file ikiomba further investigations.

Hata mahakama, katika ruling ya Septemba 3, 2026, ilisisitiza kuwa kwa hatua hiyo hakukuwa na conclusive judicial finding kwamba Barasa mwenyewe aliforge degree hiyo. Hilo ni tofauti na finding ya JKUAT kwamba certificate inayohusishwa naye si genuine.

Kwa hiyo maswali sasa ni rahisi:

EACC ilikamilisha further investigations? EBK ilifanya nini baada ya JKUAT kuwajulisha? Degree isiyotambuliwa na university iliingiaje kwenye official Parliament records? Na EBK registration iliyotajwa kwenye profile ilipatikana kwa qualification gani?
 
Attachments

  • cover (3).jpg
    cover (3).jpg
    127.9 KB · Views: 24
  • HSY4PUlXwAA9XJn.jpg
    HSY4PUlXwAA9XJn.jpg
    99 KB · Views: 22
  • 9719.jpg
    9719.jpg
    100.6 KB · Views: 18
Hata mount kenya univ ni chuo ambacho vyeti vyake vimezagaa na ni feki mno.
 
Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) imesema Kimilili MP Didmus Barasa hakuwa mwanafunzi wake, na certificate inayodai kuwa Bachelor of Electrical and Electronic Engineering kutoka chuo hicho ni “NOT GENUINE.”

Katika barua ya Septemba 14, 2026 kwa COFEK, Registrar Dr Aggrey Wanyama alisema jina la Barasa halipo kwenye academic records za JKUAT na chuo hicho hakikuwa na graduation ya May 2008 kama certificate inayochunguzwa inavyodai.

Lakini hapa ndipo maswali yanaanza.

Old profile ya Barasa kwenye website rasmi ya Parliament bado inaonyesha alisoma BSc Electrical & Electronic Engineering JKUAT kati ya 2001–2005. Current profile, kwa upande mwingine, haionyeshi degree hiyo; badala yake ina Diploma ya Electrical & Electronics Engineering kutoka Kenya Power Training School na degrees zake za Public Administration kutoka Mount Kenya University.

Cha kushangaza zaidi, current Parliament profile bado inamtaja kama EBK Graduate Engineer, Registration B11528.

Na investigation hii si mpya.

EACC iliwahi kusema uchunguzi wake ulionyesha Barasa alidai degree ya JKUAT licha ya records kuonyesha hakuwahi kuadmitiwa, na commission ikapendekeza prosecution. Lakini ODPP ilirudisha file ikiomba further investigations.

Hata mahakama, katika ruling ya Septemba 3, 2026, ilisisitiza kuwa kwa hatua hiyo hakukuwa na conclusive judicial finding kwamba Barasa mwenyewe aliforge degree hiyo. Hilo ni tofauti na finding ya JKUAT kwamba certificate inayohusishwa naye si genuine.

Kwa hiyo maswali sasa ni rahisi:

EACC ilikamilisha further investigations? EBK ilifanya nini baada ya JKUAT kuwajulisha? Degree isiyotambuliwa na university iliingiaje kwenye official Parliament records? Na EBK registration iliyotajwa kwenye profile ilipatikana kwa qualification gani?
siasa siasani kenya :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom