JLW:Mada ya siri

Hizi mada nikizisoma hua mood ya mahusiano inakata kabisa

Ndio maana now mahusiano hayadumu unakuta upo inlove kwa mpenzi wa mtu

Unampenda mtu mwenye matrauma makovu mabichi hajapona

Mwisho unaambulia maumivu
Imagine una mpenda mtu mwenye mpenzi wake 🙌
 
Dah!
Husiano langu la kwanza nipo chuo 1st yr na ke alikuwa form vi.
Ila kiukweli that girl was innocent na ujinga wangu nikaishia kumzingua mtoto wa watu she loved me deadly!
 
Unapisha wengine wanaingia 😜
Mshindi atapatikana baada ya masaa 72 😝
 
*Mwisho unaambulia maumivu
Imagine una mpenda mtu mwenye mpenzi wake*,
🥺🙇🏿‍♂
 
Dah!
Husiano langu la kwanza nipo chuo 1st yr na ke alikuwa form vi.
Ila kiukweli that girl was innocent na ujinga wangu nikaishia kumzingua mtoto wa watu she loved me deadly!
Karma is bitch😂
 
Unapisha wengine wanaingia 😜
Mshindi atapatikana baada ya masaa 72 😝
Unavyoniona nafanania kung'ang'ana ?
Bora maumivu ya week mbili kuliko vidonda vya kudumu
Mimi ni wale hata kama unanipa nini kipaumbele changu ni kuziweka salama hisia zangu na afya yangu ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…