JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Hahahaha, paka mlifikia kumruhusu rais wenu kuiambia dunia kwamba mnahitaji terminal nyingine, mlipokosa pesa ndio mkageuza Maneno kwamba hamuhitaji tena, hivi huwa mnavuta bangi kiasi gani?
 
Honestly ...Capacity ya JNIA ndo inaangoza EA ila kwa Passengers wanaopita kwa mwaka bado tuko nyuma ya JKiA .
JkiA ni hub kubwa ...na kwasababu kubwa ni KQ..na hata revevenues ni kubwa..na pia wana hub kubwa ya Cargo kwa sababu ya service zao..ni nzuri kwa cargo planes ...JNIA ni kubwa kwa sasa..na tunahitaji ATC ifikie number za Passngers za KQ ili tuone umaana wa Terminal 3
 
Huwezi kupata Wateja wengi kama huna miundombinu ya kuwapokea, tayari reli ya kati imeanza kupata mizigo ya Uganda na South Sudan baada ya kuwekeza. Mwenye Aviation nako ni hivyo hivyo, si muda mrefu idadi ya mashirika ya ndege yataanza kuongezeka, hivyo kuongeza idadi ya abiria na mizigo, hiyo ndiyo maana ya maendeleo kama wasemavyo hao Sauti sol
 
"Wanajielewa" ndio maana wakasifia,
Mbona wasisifie hilo gofu lenu?
Hapo umesikia wakisema mbona wakenya msijenge Airport nzuri kama hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Quote zingine zikupite tu maana unazidi kujiaibisha kutokana na wivu na chuki.
Heheeee...hata wa marekani na wachina walipoona station za sgr kenya kule youtube walizisifia na kusema ya kwamba zimeshinda hta standard ya stesheni zao zingine kubwa kubwa...

Kwhyo usijigambe sana....
Big brains wanajibu vitu kulingana na mazingira husika
 
Hahaaaa....sawa bana bro
 
Na Walichosema hao wamarekani ni ukweli kabisa, baadhi ya stesheni za Kenya kuliko zao, kumbuka reli ya marekani baadhi zilijengwa zamani Sana, huwezi linganisha na hiyo ya Kenya vituo vyake ni vya kisasa, vivyo hivyo huwezi linganisha JKIA ambayo ni ya kizamani na JNIA mpya
 
Akili fupi.
 
Marekani upande wa reli sibishani, wachina je?

Jnia terminal3 ndio ya kisasa...
Mnatakiwa kusema jnia terminal3 ni modern..sio eti km mnavyosema JNIA kw ujumula ni modern airport..hapo hata nyerere mwenyewe atakua anahuzunika alipo
 
Povu lakutoka nyani
 
Marekani upande wa reli sibishani, wachina je?

Jnia terminal3 ndio ya kisasa...
Mnatakiwa kusema jnia terminal3 ni modern..sio eti km mnavyosema JNIA kw ujumula ni modern airport..hapo hata nyerere mwenyewe atakua anahuzunika alipo
JNIA terminal 3 ni 75% ya Airport yote, kwahiyo tukisema JNIA ni sawa na Terminal three, kumbuka kwamba hizo terminal mbili za mwanzo ni for domestic passengers tu, kwahiyo hazina effect sana katika International affairs, kwahiyo ninyi kamwe hamtozitumia, mtatumia terminal 3 tu.
 
Yes ni kweli .mimi na support kwamba ni move nzuri..sasa Air Tanzania wawe serious na business na kuacha delays za hapa na pale au wawe wa wazi delays zikitokea huwa hawasemi..hayo mambo yanawafanya wateja wasiwaamini..ukitaka kutengeneza base lazima uwe na loyal customes ...
Cha pili tuongeze agression ya kutangaza vivutio vyetu ....hasa huko huko europe
 
I have used your JNIA and Zanzibar intl, There is nothing you are going to tell me about your poor desolate nation. Tafuta supu ya Albino Michinga
Huna hata pesa ya bajaj broke ass nyang'au
 
Hilo ni tatizo kubwa kweli, tunategemea Magufuli labda katika kipindi cha uongozi wake ataweza kubadilisha hiyo " attitude " kwa kuendelea kuwafukuza Kazi wazembe
 
Very well put.
 
Haha what comes first airlines ama abiria
 
Kwa nini tusijenge hotel yenye hadhi ya nyota 5? Tumeamua kufanya tufanye kweli. Tanzania ina uhaba wa mahoteli makubwa kwa kuwa tuna fikra za kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…