JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Terminal moja ndio inafanya mdhani mna infrastructure bora. You should make a point of leaving your country.
JKIA bila hata terminal mpya, iko na building density mara nne ya JNIA.
It is busy, hectic, and huge.

JKIA is the hub of the region. Airlines make money here because there are more people coming to Kenya. The convergence of all these airlines, make it busy.. new terminal or not.
In fact, our greenfield terminal was shelved because we have not still reached capacity with our current terminals.
Any new one would have been an overkill.

Your new terminal will likely reach capacity in 2050. So nothing to brag about.

20 years from now, you can bet JKIA will still handle double the traffic of JNIA.
Hahahaha, paka mlifikia kumruhusu rais wenu kuiambia dunia kwamba mnahitaji terminal nyingine, mlipokosa pesa ndio mkageuza Maneno kwamba hamuhitaji tena, hivi huwa mnavuta bangi kiasi gani?
 
Honestly ...Capacity ya JNIA ndo inaangoza EA ila kwa Passengers wanaopita kwa mwaka bado tuko nyuma ya JKiA .
JkiA ni hub kubwa ...na kwasababu kubwa ni KQ..na hata revevenues ni kubwa..na pia wana hub kubwa ya Cargo kwa sababu ya service zao..ni nzuri kwa cargo planes ...JNIA ni kubwa kwa sasa..na tunahitaji ATC ifikie number za Passngers za KQ ili tuone umaana wa Terminal 3
 
Huwezi kupata Wateja wengi kama huna miundombinu ya kuwapokea, tayari reli ya kati imeanza kupata mizigo ya Uganda na South Sudan baada ya kuwekeza. Mwenye Aviation nako ni hivyo hivyo, si muda mrefu idadi ya mashirika ya ndege yataanza kuongezeka, hivyo kuongeza idadi ya abiria na mizigo, hiyo ndiyo maana ya maendeleo kama wasemavyo hao Sauti sol
 
"Wanajielewa" ndio maana wakasifia,
Mbona wasisifie hilo gofu lenu?
Hapo umesikia wakisema mbona wakenya msijenge Airport nzuri kama hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Quote zingine zikupite tu maana unazidi kujiaibisha kutokana na wivu na chuki.
Heheeee...hata wa marekani na wachina walipoona station za sgr kenya kule youtube walizisifia na kusema ya kwamba zimeshinda hta standard ya stesheni zao zingine kubwa kubwa...

Kwhyo usijigambe sana....
Big brains wanajibu vitu kulingana na mazingira husika
 
Hahaaaa....sawa bana bro
Hahahaha, mbona hawajawahi kusema hivyo walipokuwa wanatumia "terminal 2?, kwahiyo wewe ndiye unayetafsiri yaliyo katika akili zao?. Hawa jamaa wapo very honest, waliyosema ni kutoka moyoni mwao, hata wewe ukitua JNIA utachanganyikiwa. " it is nearly $400M Airport project ", sio michezo. Ninyi mlihitaji $600M kujenga Green field terminal ambayo ingekua na capacity ya 20M paxs, japo mlikosa pesa.
 
Na
Heheeee...hata wa marekani na wachina walipoona station za sgr kenya kule youtube walizisifia na kusema ya kwamba zimeshinda hta standard ya stesheni zao zingine kubwa kubwa...

Kwhyo usijigambe sana....
Big brains wanajibu vitu kulingana na mazingira husika
Walichosema hao wamarekani ni ukweli kabisa, baadhi ya stesheni za Kenya kuliko zao, kumbuka reli ya marekani baadhi zilijengwa zamani Sana, huwezi linganisha na hiyo ya Kenya vituo vyake ni vya kisasa, vivyo hivyo huwezi linganisha JKIA ambayo ni ya kizamani na JNIA mpya
 
Heheeee...hata wa marekani na wachina walipoona station za sgr kenya kule youtube walizisifia na kusema ya kwamba zimeshinda hta standard ya stesheni zao zingine kubwa kubwa...

Kwhyo usijigambe sana....
Big brains wanajibu vitu kulingana na mazingira husika
Akili fupi.
 
NaWalichosema hao wamarekani ni ukweli kabisa, baadhi ya stesheni za Kenya kuliko zao, kumbuka reli ya marekani baadhi zilijengwa zamani Sana, huwezi linganisha na hiyo ya Kenya vituo vyake ni vya kisasa, vivyo hivyo huwezi linganisha JKIA ambayo ni ya kizamani na JNIA mpya
Marekani upande wa reli sibishani, wachina je?

Jnia terminal3 ndio ya kisasa...
Mnatakiwa kusema jnia terminal3 ni modern..sio eti km mnavyosema JNIA kw ujumula ni modern airport..hapo hata nyerere mwenyewe atakua anahuzunika alipo
 
A lie repeated 100 times will never be the truth. Enda ukaambie wajinga wenzako wa SiSiEmu.

JNIA handles 2 million passengers. JKIA handles 8 million.
Hata mjenge terminal zingine kumi, bongolala ni ile ile. LDC country that no one visits.

Tourists, businessmen, conference visitors etc. don't visit terminals. Kama ni hivyo, wangeenda kutazama Changi ama Daxing.
They come to the country for everything else but the airport.
Povu lakutoka nyani
 
Marekani upande wa reli sibishani, wachina je?

Jnia terminal3 ndio ya kisasa...
Mnatakiwa kusema jnia terminal3 ni modern..sio eti km mnavyosema JNIA kw ujumula ni modern airport..hapo hata nyerere mwenyewe atakua anahuzunika alipo
JNIA terminal 3 ni 75% ya Airport yote, kwahiyo tukisema JNIA ni sawa na Terminal three, kumbuka kwamba hizo terminal mbili za mwanzo ni for domestic passengers tu, kwahiyo hazina effect sana katika International affairs, kwahiyo ninyi kamwe hamtozitumia, mtatumia terminal 3 tu.
 
Huwezi kupata Wateja wengi kama huna miundombinu ya kuwapokea, tayari reli ya kati imeanza kupata mizigo ya Uganda na South Sudan baada ya kuwekeza. Mwenye Aviation nako ni hivyo hivyo, si muda mrefu idadi ya mashirika ya ndege yataanza kuongezeka, hivyo kuongeza idadi ya abiria na mizigo, hiyo ndiyo maana ya maendeleo kama wasemavyo hao Sauti sol
Yes ni kweli .mimi na support kwamba ni move nzuri..sasa Air Tanzania wawe serious na business na kuacha delays za hapa na pale au wawe wa wazi delays zikitokea huwa hawasemi..hayo mambo yanawafanya wateja wasiwaamini..ukitaka kutengeneza base lazima uwe na loyal customes ...
Cha pili tuongeze agression ya kutangaza vivutio vyetu ....hasa huko huko europe
 
I have used your JNIA and Zanzibar intl, There is nothing you are going to tell me about your poor desolate nation. Tafuta supu ya Albino Michinga
Huna hata pesa ya bajaj broke ass nyang'au
 
Yes ni kweli .mimi na support kwamba ni move nzuri..sasa Air Tanzania wawe serious na business na kuacha delays za hapa na pale au wawe wa wazi delays zikitokea huwa hawasemi..hayo mambo yanawafanya wateja wasiwaamini..ukitaka kutengeneza base lazima uwe na loyal customes ...
Cha pili tuongeze agression ya kutangaza vivutio vyetu ....hasa huko huko europe
Hilo ni tatizo kubwa kweli, tunategemea Magufuli labda katika kipindi cha uongozi wake ataweza kubadilisha hiyo " attitude " kwa kuendelea kuwafukuza Kazi wazembe
 
Terminal moja ndio inafanya mdhani mna infrastructure bora. You should make a point of leaving your country.
JKIA bila hata terminal mpya, iko na building density mara nne ya JNIA.
It is busy, hectic, and huge.

JKIA is the hub of the region. Airlines make money here because there are more people coming to Kenya. The convergence of all these airlines, make it busy.. new terminal or not.
In fact, our greenfield terminal was shelved because we have not still reached capacity with our current terminals.
Any new one would have been an overkill.

Your new terminal will likely reach capacity in 2050. So nothing to brag about.

20 years from now, you can bet JKIA will still handle double the traffic of JNIA.
Very well put.
 
Huwezi kupata Wateja wengi kama huna miundombinu ya kuwapokea, tayari reli ya kati imeanza kupata mizigo ya Uganda na South Sudan baada ya kuwekeza. Mwenye Aviation nako ni hivyo hivyo, si muda mrefu idadi ya mashirika ya ndege yataanza kuongezeka, hivyo kuongeza idadi ya abiria na mizigo, hiyo ndiyo maana ya maendeleo kama wasemavyo hao Sauti sol
Haha what comes first airlines ama abiria
 
Kwa nini tusijenge hotel yenye hadhi ya nyota 5? Tumeamua kufanya tufanye kweli. Tanzania ina uhaba wa mahoteli makubwa kwa kuwa tuna fikra za kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom