JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Kwa nini tusijenge hotel yenye hadhi ya nyota 5? Tumeamua kufanya tufanye kweli. Tanzania ina uhaba wa mahoteli makubwa kwa kuwa tuna fikra za kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu kinafanywa kufuatia "Market research", hujengi hoteli ili kupendezesha jiji, sehemu inayohitaji hoteli ya nyota tano basi itajengwa, kumbuka hao wanaojenga ni makampuni binafsi sio serikali, wanajua mahitaji ya kila maeneo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nilitokea Dubai kuja home dar. Ndege ilipokuwa inakaribia uwanjani tukawa tunaona vijumba vya bati zenye kutu. Mtu mmoja akasema huku ndiko nyumbani kwetu. Kule dubai ukiingia au kutoka juu unaona magorofa na nyumba nzuri nzuri.sijui ukiingia MUSCAT kukoje maana naona hizo nyumba zinazoshambliwa zimefanana na za kwetu.UMASKINI UMEENEA DUNIA YOTE. ILA KWA WAZUNGU KUKO VIZURI. KAMA WALINYONYA WALIMALIZA MAZIWA YOTE TUNANYONYA ZIWA KAVU KWA SASA. Halafu tunagombana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…