joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #161
Kila kitu kinafanywa kufuatia "Market research", hujengi hoteli ili kupendezesha jiji, sehemu inayohitaji hoteli ya nyota tano basi itajengwa, kumbuka hao wanaojenga ni makampuni binafsi sio serikali, wanajua mahitaji ya kila maeneo.Kwa nini tusijenge hotel yenye hadhi ya nyota 5? Tumeamua kufanya tufanye kweli. Tanzania ina uhaba wa mahoteli makubwa kwa kuwa tuna fikra za kimasikini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app