kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hongera TZ, Soko la usafiri wa anga barani africa unatarajiwa kukua kwa asilimia 50% miaka 10 ijayo...Mpo tayari kuvuna
π π π π π
Bado after 50%, hamtafika Kenya ilipo sasa hivi.
Omba sana Kenya ikue kwa 0% ili mtufikie after 20 years.