JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Top routes from JKIA hebu tuwekeeni za JNIA angalau tuone

  • #1 Mombasa 152 flights/week
  • #2 KISUMU 82 flights/week
  • #3 ENTEBBE 82 flights/week
  • #4 DAR-ES-SALAAM 58 flights/week
  • #5 ADISSABABA 51 flights/week
  • #6 ELDORET 44 flights/week
  • #7 KIGALI 37 flights/week
  • #8 JUBA 36 flights/week
  • #9 JORBURG 35flights/week
  • #10 ZANZIBAR 33 flights/week

KISUMU.....Amazing
 
It means that it has the largest seating capacity.
Hiyo haina maana kwamba hizo viti zote hujazwa wakati wa michezo. Hivyo hivyo Airport, OT Airport in South Africa is the biggest in Afrika, its capacity is 20M pxs per year, hiyo haina maana kwamba kila mwaka inapokea hao abiria, kuna mwaka inapokea chini ya idadi hiyo, na kuna mwaka inapokea zaidi ya idadi hiyo, ila uwezo wake wa kuhudumia ni 20M passengers kwa mwaka, huo ndio ukubwa wa OT Airport
 
Mjinga mbwa wa kuiba mayai, See now how stupid Danganyikans are. You are merely confirming that fact you bitchy homosexual
Kwanini unapandisha hasira, kwani hamuwatafuni Jaluo?, hakuna sababu ya kupandisha hasira, kama hujawahi kula nyama ya Jaluo, wewe sema tutakuelewa.
 
ATCL iko ligi ya Fly 540 a subsidiary of KQ [emoji23][emoji23]
You still have a longway to go in the avaition industry maybe in another 50yrs mtafikia Kenya
Here is a list of airlines operating locally in Kenya .
  1. African Express Airways – Jomo Kenyatta International Airport
  2. Aberdair Aviation – Wilson Airport
  3. Aero-Pioneer Group – Wilson Airport
  4. Acariza Aviation – Wilson Airport
  5. AD Aviation Aircharters – Wilson Airport
  6. Aeronav Air Services – Wilson Airport
  7. AeroSpace Consortium – Jomo Kenyatta International Airport
  8. Air Direct-Connect – Jomo Kenyatta International Airport
  9. Avro Express – Wilson Airport
  10. 748 Air Services – Jomo Kenyatta International Airport
  11. Airkenya Express – Wilson Airport
  12. ALS – Aircraft Leasing Services – Wilson Airport
  13. Astral Aviation – Jomo Kenyatta International Airport
  14. Blue Bird Aviation (Kenya) – Wilson Airport
  15. Fly540 – Jomo Kenyatta International Airport
  16. Fly-SAX – Jomo Kenyatta International Airport
  17. Freedom Airline Express
  18. Global Airlift – Wilson Airport
  19. Great Airways – Jomo Kenyatta International Airport
  20. Jambojet – Jomo Kenyatta International Airport
  21. Jetways Airlines – Wilson Airport
  22. Jubba Airways (Kenya) – Jomo Kenyatta International Airport
  23. KASAS – Wilson Airport
  24. Kenya Airways – Jomo Kenyatta International Airport
  25. Silverstone Air – Wilson Airport
  26. Tubania Aviation Group – Wilson Airport
  27. LadyLori – Wilson Airport
  28. Knight Aviation – Wilson Airport
  29. Mombasa Air Safari – Mombasa Moi International Airport
  30. Pan African Airways – Jomo Kenyatta International Airport
  31. Phoenix Aviation (Kenya) – Wilson Airport
  32. Queensway Air Services – Wilson Airport
  33. Reliance Air Charters – Wilson Airport
  34. Ribway Cargo Airlines – Jomo Kenyatta International Airport
  35. Safari Express Cargo- Jomo Kenyatta International Airport
  36. Safarilink Aviation – Wilson Airport
  37. Safe Air (Kenya) – Wilson Airport
  38. Skytrail Air Safaris – Bamburi (BMQ)
  39. Skyward International Aviation – Wilson Airport
  40. Solenta Aviation Kenya – Jomo Kenyatta International Airport
  41. Tamarind Air – Jomo Kenyatta International Airport
  42. Transworld Safaris – Wilson Airport
  43. Trident Aviation – Wilson Airport
Acha kupaparika, soma post #31 katika huu Uzi, umeshawekewa orodha ya VIWANJA vya ndege vya Afrika na uwezo wao(capacity), acha kuokoteza data barabarani.
1)JNIA 1.....500,000 pxs
2)JNIA 2.....2,500,000 pxs
3)JNIA 3......6,000,000 pxs
Total. 9,000,000, pxs
 
Kwanini unapandisha hasira, kwani hamuwatafuni Jaluo?, hakuna sababu ya kupandisha hasira, kama hujawahi kula nyama ya Jaluo, wewe sema tutakuelewa.

Tihahahhaaaaa, Mimi nikasirike juu ya Mashetani Midanganyika kama wewe. Si unagemea tu. We don't do such satanic acts like you do. Msituambukize cultism ya Wadangagiza
 
Acha kupaparika, soma post #31 katika huu Uzi, umeshawekewa orodha ya VIWANJA vya ndege vya Afrika na uwezo wao(capacity), acha kuokoteza data barabarani.
1)JNIA 1.....500,000 pxs
2)JNIA 2.....2,500,000 pxs
3)JNIA 3......6,000,000 pxs
Total. 9,000,000, pxs

Wewe hausaidiki. You are just a fool
 
Hii ni kwa mujibu wa "survey " iliyofanywa baada ya kuhojiwa wasafiri na mashirika ya ndege kadhaa yanayotumia viwanja vya Afrika.Tanzania hoyeeeeee!

Sidani kama ni kweli Hivi kweli kwa East and Central inazidi JKIA, au Addis Ababa? Je Kwa Africa ni ya ngapi katika viwanja hivi: Oliver Tambo International Airport, Cairo International Airport , Cape Town International Airport, Cape Town, South Africa , King Shaka International Airport, Durban, South Africa , Sharm El-Sheikh international airport , Hurghada International Airport , Mohammed V International Airport , Murtala Mohammed International Airport, Port Elizabeth International Airport?
 
Tihahahhaaaaa, Mimi nikasirike juu ya Mashetani Midanganyika kama wewe. Si unagemea tu. We don't do such satanic acts like you do. Msituambukize cultism ya Wadangagiza
Hao wajaluo mnaowapiga risasi kwa mamia kila kipindi cha uchaguzi, nyama mnapeleka wapi?
 
Sidani kama ni kweli Hivi kweli kwa East and Central inazidi JKIA, au Addis Ababa? Je Kwa Africa ni ya ngapi katika viwanja hivi: Oliver Tambo International Airport, Cairo International Airport , Cape Town International Airport, Cape Town, South Africa , King Shaka International Airport, Durban, South Africa , Sharm El-Sheikh international airport , Hurghada International Airport , Mohammed V International Airport , Murtala Mohammed International Airport, Port Elizabeth International Airport?
Kwanini hamtaki kusoma Uzi mkauelewa vizuri, hapo pametumika vigezo viwili, "Capacity & Modernity", wastani wake ndio ni namba 3, kwa ukubwa ni namba 5, kwa modernity, ambayo inahusisha mitambo na technologia ya kisasa ni namba 2, wastani baada ya kuchanganya yote hayo ni 3.

Mnashangaa JNIA kuwa namba 3 Afrika, sasa subirini SGR itashika namba moja Afrika, japo kwa kasi utakuwa nyuma ya Morroco, lakini Technology inayotumia hapa Tanzania ni the best in the Continent, " It is full remote controlled train" hakuna hiyo technology hapa Afrika kwa sasa.
 
Namba one na two ni akina nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunazungumzia "infrastructure" ya aviation sio idadi ya watu, tunaposema nchi inamiundombinu bora, hatuangaa idadi ya wanaotumia miundombinu husika, acha kujiliwaza wewe.

Tukija katika watu wanaotumia hiyo Airport yenu, kwa idadi ni kubwa lakini kwa mapato tunawazidi Mara mbili, sasa unajilinganishaje na nchi ambayo "Aviation infrastructure is much better than you, and it generates more income than you despite the fact that it receives fewer pxs?
Please wacha kufikiria na makario ati JNIA imeisdhinda JKiA kwa revenue????hivi kichwa yako imejaa uji
 
Please wacha kufikiria na makario ati JNIA imeisdhinda JKiA kwa revenue????hivi kichwa yako imejaa uji
Hahahaha, hiyo ni dalili ya kutapatapa. Uzi unasema "JNIA is 3rd biggest and most Modern airport in Africa". Tafadhali tujikite katika hivyo vigezo viwili,
1)Biggest in terms of capacity
2)Modern in terms of technology and Equipment's
Msitoke nje ya mada na kuingiza idadi ya abiria au mashirika ya ndege yanayotumia uwanja.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Namba one na two ni akina nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hahahaha, hiyo ni dalili ya kutapatapa. Uzi unasema "JNIA is 3rd biggest and most Modern airport in Africa". Tafadhali tujikite katika hivyo vigezo viwili,
1)Biggest in terms of capacity
2)Modern in terms of technology and Equipment's
Msitoke nje ya mada na kuingiza idadi ya abiria au mashirika ya ndege yanayotumia uwanja.
 
Wewe huwatambui sauti soul, wale jamaa wanajielewa na wa ungwana sana...hata wanapohojiwa pia hujishusha chini kabisa ki hadhi...

Unajua maana ya neno "kinaya"
"Wanajielewa" ndio maana wakasifia,
Mbona wasisifie hilo gofu lenu?
Hapo umesikia wakisema mbona wakenya msijenge Airport nzuri kama hiyo 😂😂😂
Quote zingine zikupite tu maana unazidi kujiaibisha kutokana na wivu na chuki.
 
Wakijua simulator moja hii ni pesa mingi kuliko Bombadier yao, watarudi kichakani kulia.
😂 😂 😂

Tunayo simulator teyari (Tsh1.8B) na marubani wengi wa nchi kama Nigeria, Rwanda, Burundi, Botwsana, Uganda, Namibia na Guinea wamekuwa wakija kujifunzia Tz. Na sasa hivi tunajenga kituo kikubwa anga Afrika nzima kwenye eneo la hekari 14.
 
Tunazungumzia "infrastructure" ya aviation sio idadi ya watu, tunaposema nchi inamiundombinu bora, hatuangaa idadi ya wanaotumia miundombinu husika, acha kujiliwaza wewe.

Tukija katika watu wanaotumia hiyo Airport yenu, kwa idadi ni kubwa lakini kwa mapato tunawazidi Mara mbili, sasa unajilinganishaje na nchi ambayo "Aviation infrastructure is much better than you, and it generates more income than you despite the fact that it receives fewer pxs?

Terminal moja ndio inafanya mdhani mna infrastructure bora. You should make a point of leaving your country.
JKIA bila hata terminal mpya, iko na building density mara nne ya JNIA.
It is busy, hectic, and huge.

JKIA is the hub of the region. Airlines make money here because there are more people coming to Kenya. The convergence of all these airlines, make it busy.. new terminal or not.
In fact, our greenfield terminal was shelved because we have not still reached capacity with our current terminals.
Any new one would have been an overkill.

Your new terminal will likely reach capacity in 2050. So nothing to brag about.

20 years from now, you can bet JKIA will still handle double the traffic of JNIA.
 
Wewe huwatambui sauti soul, wale jamaa wanajielewa na wa ungwana sana...hata wanapohojiwa pia hujishusha chini kabisa ki hadhi...

Unajua maana ya neno "kinaya"
Hahahaha, mbona hawajawahi kusema hivyo walipokuwa wanatumia "terminal 2?, kwahiyo wewe ndiye unayetafsiri yaliyo katika akili zao?. Hawa jamaa wapo very honest, waliyosema ni kutoka moyoni mwao, hata wewe ukitua JNIA utachanganyikiwa. " it is nearly $400M Airport project ", sio michezo. Ninyi mlihitaji $600M kujenga Green field terminal ambayo ingekua na capacity ya 20M paxs, japo mlikosa pesa.
 
Ila JKIA noma.... KQ wana lounge zao moja ile Pride Lounge ni hatari fire kibongo bongo
 
Back
Top Bottom