Watu wanasherekea direct flights to New York..wewe unasherekea kukua alternative airportJNIA umechaguliwa na Emirates kuwa alternative airport ndani ya sub sahara Africa kwa ajili ya ndege zao. Hawajatua bahati mbaya.
Distance haikuwa chanzo.ππ
Kwa nini haikuchaguliwa JKIA ??
Bila shaka umewajibu wale ndugu zetu jirani ambao wamepost humu mambo ya wivu tu kwa JNIA. Sijui Moi airport nini? Sijui nini? Nadhani hawakulijua hilo. Nafasi hiyo wangeitamani sana iwe ya JKIA. "Simba mwenda pole ndiye mla nyama." Hongera JNIA. "Pole pole ndiyo mwendo."JNIA umechaguliwa na Emirates kuwa alternative airport ndani ya sub sahara Africa kwa ajili ya ndege zao. Hawajatua bahati mbaya.
Distance haikuwa chanzo.ππ
Kwa nini haikuchaguliwa JKIA ??
kusema tu bila facts..emergency landing kupakwa rangiAnadai hii nikutokana na uwimara na utayali wa JNIA ndo maana ikachaguliwaππ
Ubishi wa best Airport in East Africa tumemaliza. JNIA ni mshindiππ
It seems runway ya JKIA ni poor quality.π±π³π
Sio mimi ni JNIAππ Nakuona kiroho kinavyo kudunda hayo sio mapigo yakeππUwimara wa runway ndo maana tulichaguliwaππ Mkitumia engineers kama Nairobi Walker mnategemea kiwanja chenu kiwe imara ?? π± It seems your run way has some pot holesππWatu wanasherekea direct flights to New York..wewe unasherekea kukua alternative airport
wacha ujinga man..huyu official wenu hata hajui anachosema Mauritius-bound Emirates Airline flight diverted to Tanzania over bad weather - Xinhua | English.news.cnSio mimi ni JNIAππ Nakuona kiroho kinavyo kudunda hayo sio mapigo yakeππUwimara wa runway ndo maana tulichaguliwaππ Mkitumia engineers kama Nairobi Walker mnategemea kiwanja chenu kiwe imara ?? π± It seems your run way has some pot holesππ
Kwanza umesikia video hiyo ?? Kasema Sub Sahara inatuha South Africa tu. Alternate landing yake kwa Sub sahara ni Dar es salaam Tanzania. Zimbambwe inaenda kumchukua mgabe. Jibu nikuwa alternate landing yake ya emergency ni Dar es salaam Tanzania. Hakuna nchi yoyote ile nyingine. Sikiliza Video.Alafu tuseme iyo ndegeilikua na emergency ikienda Johannesburg na iko zimbabwe ..itafanya emergency landing Harare ama itarudi hadi dar es salaam..ukinijibu hiyo nakuheshimu
Mauritius-bound Emirates Airline flight diverted to Tanzania over bad weather - Xinhua | English.news.cnKwanza umesikia video hiyo ?? Kasema Sub Sahara inatuha South Africa tu. Alternate landing yake kwa Sub sahara ni Dar es salaam Tanzania. Zimbambwe inaenda kumchukua mgabe. Jibu nikuwa alternate landing yake ya emergency ni Dar es salaam Tanzania. Hakuna nchi yoyote ile nyingine. Sikiliza Video.
Let Moi be an alternative!Watu wanasherekea direct flights to New York..wewe unasherekea kukua alternative airport
Kuna mtu anaitwa Collo anatoa povu sio la nchi ya Kenya nayoifahamuππ Nahisi atakuwa mrundiππBila shaka umewajibu wale ndugu zetu jirani ambao wamepost humu mambo ya wivu tu kwa JNIA. Sijui Moi airport nini? Sijui nini? Nadhani hawakulijua hilo. Nafasi hiyo wangeitamani sana iwe ya JKIA. "Simba mwenda pole ndiye mla nyama." Hongera JNIA. "Pole pole ndiyo mwendo."
Huyo anae hongea ni mfanyakazi wa Emirates hapa Tanzania. Nahatujabisha kuwa chanzo ilikuwa bad weatherππ±wacha ujinga man..huyu official wenu hata hajui anachosema Mauritius-bound Emirates Airline flight diverted to Tanzania over bad weather - Xinhua | English.news.cn
Swala la bad weather hatuja kataa. Sasa mbona Haikwenda South Africa au Zimbabwe abazo pia zipo karibu na Mauritius. ??
Itabidi tuwapatie alternate landing ya ATCL kupunguza hasiraππ But my worry ipo kwenye zile pot holes ndogo ndogo.Let Moi be an alternative!