JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
JNIA umechaguliwa na Emirates kuwa alternative airport ndani ya sub sahara Africa kwa ajili ya ndege zao. Hawajatua bahati mbaya.
Distance haikuwa chanzo.😀😀
Kwa nini haikuchaguliwa JKIA ??
 
Kwa Sub sahara Africa inatua South Africa pekeyake na kwa alternative airport ni Tanzania tu ! 😀😀 Collo na Hamstere mpo ! 😀😀
 
JNIA umechaguliwa na Emirates kuwa alternative airport ndani ya sub sahara Africa kwa ajili ya ndege zao. Hawajatua bahati mbaya.
Distance haikuwa chanzo.😀😀
Kwa nini haikuchaguliwa JKIA ??

Bila shaka umewajibu wale ndugu zetu jirani ambao wamepost humu mambo ya wivu tu kwa JNIA. Sijui Moi airport nini? Sijui nini? Nadhani hawakulijua hilo. Nafasi hiyo wangeitamani sana iwe ya JKIA. "Simba mwenda pole ndiye mla nyama." Hongera JNIA. "Pole pole ndiyo mwendo."
 
Anadai hii nikutokana na uwimara na utayali wa JNIA ndo maana ikachaguliwa😀😀
Ubishi wa best Airport in East Africa tumemaliza. JNIA ni mshindi😀😀

It seems runway ya JKIA ni poor quality.😱😳😀
 
Anadai hii nikutokana na uwimara na utayali wa JNIA ndo maana ikachaguliwa😀😀
Ubishi wa best Airport in East Africa tumemaliza. JNIA ni mshindi😀😀

It seems runway ya JKIA ni poor quality.😱😳😀
kusema tu bila facts..emergency landing kupakwa rangi
 
mkijua kuongea facts mnitag yaani hadi officials wa JNIA ni wajinga kubabaisha Magu
Capture.PNG
 
Watu wanasherekea direct flights to New York..wewe unasherekea kukua alternative airport
Sio mimi ni JNIA😀😀 Nakuona kiroho kinavyo kudunda hayo sio mapigo yake😀😀Uwimara wa runway ndo maana tulichaguliwa😀😀 Mkitumia engineers kama Nairobi Walker mnategemea kiwanja chenu kiwe imara ?? 😱 It seems your run way has some pot holes😀😀
 
Alafu tuseme iyo ndegeilikua na emergency ikienda Johannesburg na iko zimbabwe ..itafanya emergency landing Harare ama itarudi hadi dar es salaam..ukinijibu hiyo nakuheshimu
Kwanza umesikia video hiyo ?? Kasema Sub Sahara inatuha South Africa tu. Alternate landing yake kwa Sub sahara ni Dar es salaam Tanzania. Zimbambwe inaenda kumchukua mgabe. Jibu nikuwa alternate landing yake ya emergency ni Dar es salaam Tanzania. Hakuna nchi yoyote ile nyingine. Sikiliza Video.
 
Mauritius-bound Emirates Airline flight diverted to Tanzania over bad weather - Xinhua | English.news.cn
ona hii hapa story ya alternative nikuwa furahisha jamaa ata hajui kenye anasema...akiweka evidence hapa sawa
 
Bila shaka umewajibu wale ndugu zetu jirani ambao wamepost humu mambo ya wivu tu kwa JNIA. Sijui Moi airport nini? Sijui nini? Nadhani hawakulijua hilo. Nafasi hiyo wangeitamani sana iwe ya JKIA. "Simba mwenda pole ndiye mla nyama." Hongera JNIA. "Pole pole ndiyo mwendo."
Kuna mtu anaitwa Collo anatoa povu sio la nchi ya Kenya nayoifahamu😀😀 Nahisi atakuwa mrundi😀😀
 
Running way ya JNIA ni bora na imara kuliko uwanja wa John F.Kennedy wa New york.Halina ubishi hilo.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom